Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Mchuzi mixx!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano mwingine ni kampuni ya mafuta ya shell. Jamaa walikua na jina kubwa kiasi kwamba mpaka Leo hii watanzania vituo vya mafuta vyote wanaviita shell. Ukishakua na brand kama hiyo biashara yako inajitangaza yenyewe.Ni sawa na Elon musk alivonunua Twitter na kuiita X. Zamani ilikua ukisema mtu flani ame "tweet" moja kwa moja watu wanajua unazungumzia Twitter ila saivi zinaitwa "post" sio tweet kwaio inabidi utoe maelezo mtu amepost wapi. Facebook, Instagram, Whatsapp X wote wanatumia neno "post". Brand recognition ni muhim sana kwenye biashara. Mwekezaji mpya nafkiri washauri wake hawakumwambia jinsi tigopesa ilivokua na brand kubwa Tanzania
Alafu mkuu kuna uzi nimeona wanakutafuta kuleBORA WANGEIITA "PESA YAO"
Wapumbavu hata kubuni jina zuri wanashindwaInaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa” kwenda syllable sita “Mi-xx-ba-i-ya-s”
Huyu mwekezaji atafute watu wengine wa marketing, hilo sio jina bibi kizee wa kijijini anaweza kutamka, abadili jina kabla hajaua brand nzima kwenye soko kwa sababu za kipuuzi kama hizi
Sasa hvi yupo wapi ..Mfano mwingine ni kampuni ya mafuta ya shell. Jamaa walikua na jina kubwa kiasi kwamba mpaka Leo hii watanzania vituo vya mafuta vyote wanaviita shell. Ukishakua na brand kama hiyo biashara yako inajitangaza yenyewe.
"Nje Ya Mada Pia"Tukwisha Malizana Nae Kitambo Tu,Na Nafikiri Ndio Anazotumia Kuandaa Mikutano Yake Ya Kugombea Uenyekiti Wa Taifa Wa Chama ChaoNje ya mada ile kesi ya Lisu na Tigo imeanza kusikilizwa au bado?
Hawa wahuni wanaweza wakamlipa fidia kmya kmya
Shida ni kwamba huu si mtandao mpya, ni mtandao wenye pre existing user base uliouzwa, angekuwa hana users basi waliojiunga ndo wameridhia lakini kwa hili wamefeli.Mkuu mahangaiko yote haya ya nini, kwa nini usianzishe mtandao wako ukaita jina ulipendalo?
Mtu kajichanga kanunua limtandao lake unachukia jina analolipa!
Je, katika mabadiliko ya jina la Tigo kwenda Mixx by Yas! haijaathiri mikataba ya wafanyakazi kwa mfanoInaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa” kwenda syllable sita “Mi-xx-ba-i-ya-s”
Huyu mwekezaji atafute watu wengine wa marketing, hilo sio jina bibi kizee wa kijijini anaweza kutamka, abadili jina kabla hajaua brand nzima kwenye soko kwa sababu za kipuuzi kama hizi
[SIZE=4]primarily governed by the Fair Competition Act[/SIZE]which mandates notifying the Fair Competition Commission (FCC) before proceeding with a merger or acquisition if the combined market share of the merging entities exceeds a certain threshold, essentially requiring approval from the FCC before completing the transaction to ensure fair competition within the market; failure to notify constitutes an offense known as "gun-jumping.". if the name change is part of a larger restructuring that leads to substantial changes in employment terms, like job cuts or significant changes in duties, then compensation might be required under the Employment Act, particularly if such changes constitute a "retrenchment.".