TheGreatGenius
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 260
- 726
Yas Pesa, Yas money, Y Pesa, Y money …….. Yote hayo wakakosaBora wangeita yas pesa au yas money. Mixx by yas hai sound vema kwenxe miamala ya hela. Kiswahili cha chapchapu ni changanya kwa yas
cha ajabu wakaweka yas rusha, ambako yas pesa haiko mbali na hapoYas Pesa, Yas money, Y Pesa, Y money …….. Yote hayo wakakosa
BORA WANGEIITA "PESA YAO"Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa” kwenda syllable sita “Mi-xx-ba-i-ya-s”
Huyu mwekezaji atafute watu wengine wa marketing, hilo sio jina bibi kizee wa kijijini anaweza kutamka, abadili jini kabla hajaua brand nzima kwenye soko kwa sababu za kipuuzi kama hizi
Ndugu mteja aache kuingilia biashara za watuMwenye kampuni yake kaamua, ndugu mteja una option ya kunitumia hiyo huduma, uende kwa mtoa huduma mwenye jina la bidhaa unalolipenda.
Uzi ufungiwe hapaHiyo ni brand ya kampuni kaka, mtazamo wako ni wakitanzania zaidi.
Hiyo kampuni ni kubwa na hilo jina halitumiki Tanzania pekee, bali kote wanako"operate". Utakuta halijaanzia hapa, hapa limeletwa na kampuni husika tu.
sasa kama tigo haipo kuna kesi hapo?Nje ya mada ile kesi ya Lisu na Tigo imeanza kusikilizwa au bado?
Hawa wahuni wanaweza wakamlipa fidia kmya kmya
Hata wakibadili jina bado lile 'tundu la huzuni' tutalipachika jina hili jipya, yaani 'YAS'Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa” kwenda syllable sita “Mi-xx-ba-i-ya-s”
Huyu mwekezaji atafute watu wengine wa marketing, hilo sio jina bibi kizee wa kijijini anaweza kutamka, abadili jini kabla hajaua brand nzima kwenye soko kwa sababu za kipuuzi kama hizi
Bora ingeitwa Nyashi Pesa 😀Bora wangeita yas pesa au yas money. Mixx by yas hai sound vema kwenye miamala ya hela. Kiswahili cha chapchapu ni changanya kwa yas
Naunga mkono hojaInaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.