Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Mkuu umefunguka haswa...safi sana huu ndo uthubutu wenyewe!!
 
Hii ndio JF!

Wanakutana humu, wanatongozana humu, wanakubaliana alafu wanagegedana humu humu.

Mwisho wa siku wanaachana then wanaanza kutoleana maneno ya kashfa humu humu!

Yote haya yanafanyika bila wahusika kukutana hata mara moja!

What a wonderful life, sitoki JF asee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…