I miss u pantir,kumbuka unatakiwa kua mgeni special kabisa kweny birthday ijayo ya Jolie[emoji23]Natabiri mwezi April utakuwa mwezi wa Jolie Jolie kama ulivyokuwa mwezi February kwa Mzigua90 na March kwa Demiss.. January naona tulisahauliana-vyumaa!.. Tatizo nani ataanza kutandaza uziii!!?....Me nahangaika naye inbox hakuna namna[emoji2]).
Wewe ndo unachochea ujue, yeye alishanijibuaiseeee ..hii inaitwa kufikiri nje ya box aiseeee """
huu si uchochezi huu mkuu ?
lol ..mtawauwa watu kwa puresha aiseeee ...hahaaSidhan kama jf ni sehemu sahihi ya kupata mwenza sahihi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera sana mkuu naona leo mdomo haujabaki wazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aiseeee........ naona Jf imebadilika kwa kasi ya ajabu kuliko mwendo wa treni ya mwendo kasi...... Yaani kapo zimekua ndio headlines zinazo tamalaki kwa kasi kila kukicha.....tehteehh..... all the best mkuu
Waaaacha weeeNakwann usiwe wewe na unakila sababu ya kua wewe !!!
siwezi kosa hiyo siku 1inayotokea ndani ya siku 365!.. Nisipokuwepo kuna zawadi yako itaniwakilisha my Jlo!..I miss u pantir,kumbuka unatakiwa kua mgeni special kabisa kweny birthday ijayo ya Jolie[emoji23]
[HASHTAG]#April[/HASHTAG] haha
[HASHTAG]#saveTheDate[/HASHTAG]
Huu ni uchokozi kabisa usser[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba ya kunywa
bakisha na yakesho ..usije vunja mbavu bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkono hojaNapendekeza jolie jolie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana eti jf unaweza kupelekwa ulaya na kurudishwa
Kwa kweli naomba usikosekane,huwezi jua mwakilishi anaweza asikuwakilishe ipasavyosiwezi kosa hiyo siku 1inayotokea ndani ya siku 365!.. Nisipokuwepo kuna zawadi yako itaniwakilisha my Jlo!..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee Watu mnajua kucheza na fursaAdden-beef lasagna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106]nakupenda sana mamy akeeehahahhaahah hayo maneno
love you and love to hear dat
Hili wazo batili mjueNaunga mkono hoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe nilkuwa sijui kama Mr anafanya na hiyo kazi mbn mwaka huu nitaona mengi ya ulozisio kumlimbwata kuna mkuu anasema anataka kuja pm nikasema lazima afanyiwe ukaguguzi na mganga mkuu wa huku
teh teh