Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Natabiri mwezi April utakuwa mwezi wa Jolie Jolie kama ulivyokuwa mwezi February kwa Mzigua90 na March kwa Demiss.. January naona tulisahauliana-vyumaa!.. Tatizo nani ataanza kutandaza uziii!!?....Me nahangaika naye inbox hakuna namna[emoji2]).
I miss u pantir,kumbuka unatakiwa kua mgeni special kabisa kweny birthday ijayo ya Jolie[emoji23]

[HASHTAG]#April[/HASHTAG] haha
[HASHTAG]#saveTheDate[/HASHTAG]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Naomba ya kunywa
 
Aiseeee........ naona Jf imebadilika kwa kasi ya ajabu kuliko mwendo wa treni ya mwendo kasi...... Yaani kapo zimekua ndio headlines zinazo tamalaki kwa kasi kila kukicha.....tehteehh..... all the best mkuu
Hongera sana mkuu naona leo mdomo haujabaki wazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
I miss u pantir,kumbuka unatakiwa kua mgeni special kabisa kweny birthday ijayo ya Jolie[emoji23]

[HASHTAG]#April[/HASHTAG] haha
[HASHTAG]#saveTheDate[/HASHTAG]
siwezi kosa hiyo siku 1inayotokea ndani ya siku 365!.. Nisipokuwepo kuna zawadi yako itaniwakilisha my Jlo!..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Naomba ya kunywa
Huu ni uchokozi kabisa usser
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana eti jf unaweza kupelekwa ulaya na kurudishwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
siwezi kosa hiyo siku 1inayotokea ndani ya siku 365!.. Nisipokuwepo kuna zawadi yako itaniwakilisha my Jlo!..
Kwa kweli naomba usikosekane,huwezi jua mwakilishi anaweza asikuwakilishe ipasavyo
 
Back
Top Bottom