Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Ndo hali halis, mie sinimeshaona jamaa wanajitia wazimu nakufungulia watu nyuzi ilihali hawajawa na uhakika km wako in relationship au hapana !!

Kwa taarifa nikwamba kuna watu wanadate humu ndani chini chinj yaa kimyaaaa bila sauti ,watu wananjenjana polepole tu bila kupiga yowe.

Alafu kesho unamwanzishia uz weeeeeeeed nai kasema ...utajibia tuu

** hahahahahahahahah asante my dear ila umechelewa my mkaka mzurii ,nishawaiwa mimiiiii****

Alafu sekunde tatu,,, unaona Bwanake analike post yako ,analike na komenti ya demu wake.


Dadeki ,,, kama hautotaman kuufuta huo uzi ?? Nahivi mods wenyewe mpaka uwabembelezeee ,,, basi itajikuta kila lisaaa unaanzisha vinyuzi vya ajabu ajabu ili viisikumie mbali iyo nyuzi yako yakumhusu demu ..

Hawa ndo wadada wa Jamiiforums na wakaka zao !![emoji3][emoji3][emoji3]
Umeongea kwa hisia........
 
Back
Top Bottom