Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Vipi wanaofungwa kwa ufisadi, ubakaji, na jinai zingine?Wafungwa ni watu na wanamahitaji ya kiutu hivyo ni lazima waandaliwe namna ya kuishi uraiani, Kenye wanawafundisha ufundi na kuwapa vifaa vya kuanzia maisha kama vile cherehani na vitambaa, useremala, fundi bomba na fundi magari, yote hayo hufanyika wakiwa jela hivyo akitoka anao uhakika wa kuendelea na maisha yake.