Hakuna justification ya wizi,wizi ni tabia ya mtu,unaweza kukuta mtu ana milioni moja mfukoni ila akaiba buku ya mwenzake ndani ya Dala Dala,
Mbona mtaani wengi tu hawakuandaliwa wala hawana huo ujuzi ila wanatafuta maisha kwa njia ya halali tu,halafu sio kila mwenye ujuzi ana kazi ya kufanya,wau wanahangaika kutafuta ajira kila siku hata humu JF.