Mradi tu umezishinda mamlaka husika.Population kubwa nayo tatizo kwenye nchi yenye uwezo mdogo wa teknolojia.
Poleni.Uvivu tu wa kulima.Kwani lazima muishi Dar?Kuanzia leo nitaenda K,koo na Mwendokasi ila nitarudi na Bajaj.
Sio kwa mateso ya leo. Nimeingia stand saa 11 jioni ila nimepanda gari saa moja tena kwa kurukia gari kama chui anaemdaka nyumbu
Kwenda yenyewe labda uamke mapema sana au uchelewe sana ila kuanzia saa 12:30 hadi saa tatu hivi ni kisanga hizo gari π π πMwendokasi kwenda Kariakoo rahisi, mziki wake kurudi.