Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

Amani iwe nanyi watanzania

Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki

Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika asingeuanzisha

Utawala uliopo madarakani umeshindwa hata kusimamia huu mradi alafu wanataka tuwachague tena

Inauma sana kuongozwa kibabe namna hii na watu wasio na uwezo kuwa viongozi wa darasa la tano B

Mwendokas ni mateso jaman

MWENYEZI MUNGU mwenyewe aingilie huu ugomvi

LONDON BOY
Msukuma anakwambia kati ya magari 300, 15 ndiyo yanafanya kazi.
 
Population kubwa nayo tatizo kwenye nchi yenye uwezo mdogo wa teknolojia.
Tatizo siio population bwana. Wewe mradi hauna competetion lakini wameshindwa kuendesha na mbaya zaidi magari mengi yamepaki kwa ubovu.
Hawa wakurugenzi wangekuwa inatangazwa kazi watu wanaapply wanachagua kutokana na interview na experience na hakuna ruzuku ya serikali na ukiboronga unashitakiwa kwa kuhujumu uchumi.
 
... OVEREMPLOYMENT (RESULTING FROM POOR MANAGEMENT IN PUBLIC SECTOR) & THEFT AND CORRUPTION, IN GENERAL, LEAVES ONLY ONE OPTION FOR SUCH CORPORATIONS:
PRIVATIZATION!
... Yes, Privatization came too late, when what was left was a mere scrap yard!
 
Ndugu tunateseka unasubili gali masaa mawili kama ndege na habati mbaya kutoka posta mpaka kimara daladala waliziua
Hapoo fanya kuunga magari hakuna namna. Sijui ni ushamba wa mji wa Dar, sijawahi kubahatika kupanda mwendokasi maana kila nikipishana na hayo magari mara nyingi naona watu wamebanana sana kuliko kawaida. Nishazoea daladala zetu za tegeta japo naona wanatuletea mwendokasi hivi punde
 
Wanafanya makusudi hao ili muongee mumuone mama haupigi mwingi ili hali anaupiga wa kutosha tuu

Ila kwa ushauri wangu Tuwaite wao wenyewe wachina/wazungu waje wasimamie hii miradi yao
 
Population kubwa nayo tatizo kwenye nchi yenye uwezo mdogo wa teknolojia.
Hapana sio population
Ni kwamba vijana wote wamekimbilia Dar
Wote wamekuja kubanana mjini kuwa sijui winga mara chawa
Wamejaa Dar bila shughuli ya maana ndio maana enzi nyerere watu walikuwa wanakamatwa kurudishwa vijijini na mikoani kukontrol populatio ya miji
 
Hio ndio population yenyewe sasa, jiji linakuwa limezidiwa kimoundimbinu hasa ukizingatia uwezo wetu wa ufanisi katika mambo mbalimbali bado ni mdogo.
 
Population kubwa nayo tatizo kwenye nchi yenye uwezo mdogo wa teknolojia.
Mfumo wa mwendokasi uondolewe na treni za umeme zijenge na train za mitumba za huyu Mama yenu ziamishe kwenye mwendokasi na Serikali inunue train mpya na zaki sasa kutoka kiwandani Kama Mavufuli alivyo nununua Ndege mpya kwa Cash. Na siyo huyu Mama kaleta Matrain mtumba sisi watu wa Bara tunapenda vitu vipya siyo vilivyotumika.
 
Amani iwe nanyi watanzania

Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki

Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika asingeuanzisha

Utawala uliopo madarakani umeshindwa hata kusimamia huu mradi alafu wanataka tuwachague tena

Inauma sana kuongozwa kibabe namna hii na watu wasio na uwezo kuwa viongozi wa darasa la tano B

Mwendokas ni mateso jaman

MWENYEZI MUNGU mwenyewe aingilie huu ugomvi

LONDON BOY
Kuteseka kunatengenezwa ili kuwapa fursa kundi fulani la watu
 
Waafrika turudishwe enzi za mawe!, tukale mizizi upyaa halafu uchi kitu ana kwa ana tukikimbiza mikia yetu huku tukiwatisha wanyama wengine! nafikiri hicho ndo kipaji chetu!
Huyu mwanamke wa pemba arudi kwao

Hana huruma kabisa huyu mama
 
Back
Top Bottom