Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

Masaa haya uko wapi ukisubilia mwendokas
 
Poleni,huu USAFIRI ni mateso kwakweli.Siku hizi walau naona kuna option sio lazima upande kwa wale wanaotokea mbezi Luis.Unaweza panda zile za mwananyamala Hadi magomeni then pale ukachukua ya Posta au kariakoo.Kuna bajaji pia.
Ni mateso makubwa sana
 
Kama mradi kama huu tumeshindwa kuendesha na kuusimamia wenyewe tunasubiria hadi wazungu watusadie basi sisi ni MFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…