Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mateso makubwa sanaPoleni,huu USAFIRI ni mateso kwakweli.Siku hizi walau naona kuna option sio lazima upande kwa wale wanaotokea mbezi Luis.Unaweza panda zile za mwananyamala Hadi magomeni then pale ukachukua ya Posta au kariakoo.Kuna bajaji pia.
Kwani alivyokuwa hai kulikuwa na nafuu gani kwenye huo mwendokasi?Halafu kuna mtu anatuaminisha JPM alikua mtu mbaya sana