Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Mada yangu hii, imekaa Kwa mtindo wa swali,
Nauliza tuu, na kama yupo, Mingy ampe maisha marefu zaidi,
Imekuwa ni muda mrefu sasa tokea Julay huko hajawahi tena kuapdate tarifa ya Uzi wake
Mimi kila nikiingia Jukwaan, lazima nianze kusoma Uzi wake kwanza, maana huwa ninaamini kuwa yeye ndiye haswaa chanzo cha uhakika wa tarifa za mgogoro huu
Cha ajabu sasa, kila nikiingia kusoma, tarifa ya mwisho mpya, inakuwa inaishia mwezi wa saba huko na wakati leo tuko September
Sasa najiuliza, inswezekana mwenzetu alikuwa mwandishi wa habari huko Rasia, Kwa bahati mbaya Bomu la vijana wa Zele likampitia! Na ndiyo maana hatuoni tarifa zake?
Mkuu kama upo, tuletee apdate aisee, Mimi naamini sana tarifa za mapigano haya, wewe ndo unaandikaga ukweli