Mwenyekiti27
Member
- Jun 23, 2024
- 5
- 0
Sasa kama alifanya jaribio la kumbaka mtoto hapo unamhukumje? Kwa kumuambukiza mtoto au alianza na jaribio la ubakaji na mwisho wa siku akafanya ubakaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE UNA UHAKIKA GANI KAMA KWELI ALIFANYA HICHO KITENDO? HIVI UNAIFAHAMU MIAKA 78 HALI YA DHAKALI YA MWANAUME KWA UMRI HUO, ACHA KUWA MTAZAMO WA KUSHOTO KWA KILA JAMBO.Wanasema eti wanaume hawazeeki, sasa si angetafuta wakubwa wenzie?
Kufikia hivyo ujue ulozi mkubwa umetumika.
Kesho atarudia tu, hawasikii.
Wameandika pia alimwambukiza mtoto ukimwi wewe unavaa miwani nyeusi unakomaa .WEWE UNA UHAKIKA GANI KAMA KWELI ALIFANYA HICHO KITENDO? HIVI UNAIFAHAMU MIAKA 78 HALI YA DHAKALI YA MWANAUME KWA UMRI HUO, ACHA KUWA MTAZAMO WA KUSHOTO KWA KILA JAMBO.
Mhhhhhh"Mzee huyo alikuwa ametiwa hatiani kwa makosa matatu, moja la kubaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18, kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kwa makusudi na kosa la tatu likiwa ni kufanya jaribio la kumbaka mtoto huyo." Hayo makosa matatu kisheria yamekaaje hapo
Miaka 78 na mimba anatia kabisa acheni upotoshaji, angekuwa mwanao usingeandika huo upupu.Haiingii akilini mzee wa miaka 78 asumbuke na vototo vidogo.hiyo kesi alisingiziwa na kudhalilishwa.mzee afungue kesi ya kudhalilishwa.hakimu wa mchongo alimuonea mzee.hakimu mshenzi sana.