"Mzee huyo alikuwa ametiwa hatiani kwa makosa matatu, moja la kubaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18, kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kwa makusudi na kosa la tatu likiwa ni kufanya jaribio la kumbaka mtoto huyo." Hayo makosa matatu kisheria yamekaaje hapo