Aliyebuni mandhari ya ndani ya Ikulu ya Rwanda hakika alipatia

Rwanda inaonesha wanapenda sana nakshi na muonekano kwao ni kipaombele sana..
ni jambo nzuri sana kuwa kisasa na sisi jaman tuige kwa wenzetu hapo maana tulivyo bora hata ya sasa kipindi kile cha mzee baba aibu unaona wewe unayeangalia video/picha
 
Nimemuona Marehemu Mwamba Yupo masijala na mafaili ya makinikia!!!
 
Usichanganye mambo,hapo ni chooni sio ofisini
 
Una akili ndogo sana, unadhani ikulu ina chumba na sebule? Hizo ofisi zipo nyingi za kutosha na zinaendana na wizara husika.

Tofautisha ofisi za ikulu ( anapofanyia kazi rais) na ikulu kama sehemu ya mazungumzo tu na wageni.

Huyo kagame yupo kwenye eneo la sehemu ya maongezi tu na siyo ofsini.
 
Wewe mwenye akili kubwa Sawa tuoneshe picha ya ikulu yetu hiyo sehemu ya mazungumzo ya wageni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…