Aliyedai kuvunjwa mguu na kigogo wa Polisi Arusha, adai kutishiwa maisha

Acha masimango wewe Mzanzibari
 
Kuna mambo yanaumiza, unateseka na mwenzio ni ana cheo.. Kuna muda unatamani uwe hata mchawi umtoe mtu kibusha mpate kuheshimiana 😂🤣
Na akimaliza kukutesa anapandishwa cheo.

Dunia Mungu alikotuweka hatusitahili kabisa.
 
Uliopota ujinga wa kupotea watoto haukuwepo na utekaji ulikuwepo ila pia wanaharakati walichochea sana JPM aonekane mbaya!
Ila hakuna muda matukio ni mengi kama saizi!
Mkuu haimanishi kwamba hayakuwepo sema tu yame Escalate na waharifu walijifunza tangu wakati hule. Sasa wamezoea hatuponi Kaka.

Hata hapa hapa watatuzoa.
 
Wewe jinga linalotembea kabisa. Umelaaniwa na utakufa ukiwa jinga . Mungu akuchukue haraka iwezekanavyo jinga wewe
 
Yaan ukiwa polisi au Mjeshi ni lazima kuwa na tabia, akili ya kutisha tisha watu?
Au kwa sbb ya uwepo wa awamu dhaifu?
 
Nyamitako mwenyewe ameua watu wengi sana
 
RC anasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…