Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilianza kilimo nikiwa na kilo 78 sasa Nina kilo 64..!!!Nimekimbia, nimeruka n.k nk lakini nimeshindwa kabisa kukiondoa. Naomba wale
ambao mlikuwa na kitambi mutoe maelezo hapa nini mulifanya ili kukiondoa?
Nunua hicho kitabu soma kisha fuata maelekezo, mimi nilikuwa ninafuatilia lishe nukashusha kama kilo 7 ndani ya mwezi, daaah ila konyagi na kitimoto sasa
Ulivyomalizia [emoji28][emoji28]
80% ya uzito wako hutokana na vyakula unavyokula . 20% ni kutokufanya mazoezi ya viungo.
Ukitaka kufanikiwa panga discipline katika yote mawili.