Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
anza kukimbia kila siku kilometa kadhaa na kupiga mazoezi ya kukata tumbo hutomaliza miezi mitatu kitambi kinakata choteNimekimbia, nimeruka nk lakini nimeshindwa kabisa kukiondoa. Naomba wale ambao mlikuwa na kitambi mtoe maelezo hapa nini mulifanya ili kukiondoa?
Dr Boaz ni Sawa na Dr Ndodi tu ni Mpiga Dili kwa Kuuza Bidhaa zake hana kingine zaidi ya kuwaibia wajinga,hakuna ushauri anaoutoa, watu wanadanganyika na mwili wake kwamba anakula kwa formula kumbe mwili wake ni kama wa Nyerere au Warioba,Kuna watu ni Wembamba by Nature hata awe anakula hovyo hovyo,metabolic zao ni kubwa,kuna wengine watu wa kuridhika hata akiwa anakunywa maji 24/7 mwili uonaongezeka.
Kinachosababisha vitambi kwa watu wengi ni Pombe...Bia na Pombe kali ndo chanzo cha vitambi. Acha kunywa bia,.kula utakavyo..hutaona kitambi ng'oo
Huwa napingana na nyinyi mnaopinga "kunywa chai" Kwa maana ya kupata breakfast!! Sijui ni akili ya wapi hii!!!Inawezekana kupungua sana kama utadhamiria .
Kwa kuanzia acha kabisa kula vyakula vya wanga kama vile ugali, wali, ndizi, viazi, magimbi, n.k
Kama shughuli Yani kazi yako ni ya kukaa kwenye computer asubuhi kunywa kikombe cha maziwa tu bila kitafunio chochote
Mchana samaki na salad au mbona za majani.
Jioni unaweza usile kabisa ukalala hivyo hivyo ukiweza kufanya hivyo wiki utaona matokeo yake.
Nimejifunza kuwa saingine kusikia njaa ni vile utavyoweza kuwaza akilini mwako.
Acha kabisa kunywa chai na vitafunwa
Sent using Jamii Forums mobile app
FactDr Boaz ni Sawa na Dr Ndodi tu ni Mpiga Dili kwa Kuuza Bidhaa zake hana kingine zaidi ya kuwaibia wajinga,hakuna ushauri anaoutoa, watu wanadanganyika na mwili wake kwamba anakula kwa formula kumbe mwili wake ni kama wa Nyerere au Warioba,Kuna watu ni Wembamba by Nature hata awe anakula hovyo hovyo,metabolic zao ni kubwa,kuna wengine watu wa kuridhika hata akiwa anakunywa maji 24/7 mwili uonaongezeka.
Dr Boaz ana mwili mwembamba by Nature na sio kwamba sayansi ya mapishi inamsaidia na ndio maana kutwa anashinda Gym aongeze mwili lakini wapi mwili hauji.
Kuna mtu Mwingine yupo Ujenzi ZOne Benny Innocent naye ni Mpigaji sana anawapiga Wajinga wasiojua baada ya Kumstukia Bei zake sasa amekuja na dhana ya jinunulie vifaa sie tutakujengea ukinunua vifaa hiyo bei ya ufundi ni balaa.
Hawa jamaa wa Online wengi ni WATAFUTA FURSA TU.
Huwa napingana na nyinyi mnaopinga "kunywa chai" Kwa maana ya kupata breakfast!! Sijui ni akili ya wapi hii!!!
Kwa taarifa yako, breakfast huupa mwili na ubongo nguvu ya kufanya kazi siku nzima! Unapounyima chakula cha asubuhi unaudumaza. Utajiona umepungua kilo au umekonda, kukonda huko siyo Kwa afya bali ni utapiamlo!!!
Kula vizuri asubuhi (breakfast) na mchana (lunch), usiku unaweza kupotezea maana chakula hakina matumizi tena usiku!
Nikisema breakfast simaanishi "chai" kwa maana ya maji yenye sukari na majani, bali namaanisha chakula cha asubuhi kilichopangaliwa vyema (balanced diet).
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly.Sishangai endapo urudipo ama uwapo mahali baada ya shughuli unaagiza nyama na bia
*** Acha kutumia vyakula/vimiminika vyenye sukari
** Kula mboga mboga na matunda, saizi ya chakula iwe ukubwa wa ngumi yako
** Kunywa maji ya wastani na endelea na mazoezi
😁 😁 tena mwanafunzi mwenyewe awe wa darasa la neeKama ni wakiume,Stress kubwa zaidi akazini na mwanfunzi dheni amtie mimba,mbinu atakazotumia kulisovu swala hill hadi kuisha na kitambi kitakua kimeisha,natania tu.
Sent using Jamii Forums mobile app