Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika kama msomi, msiwashawishi watu waamini kuwa chuo chenu ni cha katainatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
acha kuidharau udomNazidi kuamini Udom ni chama cha kata..
unaonekana ni kijana wa kizazi cha mulugoinatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
vice UDOM Join Date : 24th August 2013 Location : tabora manispaa Posts : 180 Rep Power : 348 Likes Received 3 Likes Given 0
Nimegundua watu fata upepo kinyama humu!! Yani mtu anaangalia wengi wanasemaje?then ndo anacomment according to views za mtu.
And kiukweli mleta mada anapoint ila hajajieleza vizuri ila sio kiasi cha kumdharau ama kumshusha!
Watu mnajishongondoa wakati mapopompo tuu na nyie kichwani!
Wengine kujieleza kama wamesoma literature hawawezi ila sio kwamba hawajui wanachoongea! Saingine muwe waelewa.. Stop hating!jus try kuwa mwelewa hata ndoa zenu zitadumu!
Vidharau vya kilocal jifanyie mwenyewe kabla hujafanya kitu it will make u a better person than him!!
Mnadharau chuo wakati ndugu zenu wengine wanalilia nafasi za education waje kuwafundisha wanenu!
****JIWE GIZANI..UKISIKA YALAAAAAAHHHH..... (......)
okay BYE!
shosti jiheshimu...acha papara...relaaax...chilllout babe uelewe nilichoandika!Sasa wewe unatetea ujinga? wewe na akili zako timamu unaweza andika kama alivyoandika na kuwakilisha kwenye jukwaa kama hili? Halafu eti tuwe na sympath na watu kama hawa?? Mimi sikubaliani na wewe kabisa haiwezekani mwanafunzi tena wa chuo anashindwa kuandika sentensi tano kwa ufasaha ili kuweza kuwakilisha kwenye haraiki kubwa kama hapa JF. Na wewe ndo hamnazo kabisa huna tofauti na wafinyu wa kufikiri wenzako walioamua kushusha viwango vya ufaulu ili wengi wafaulu....u******u kabisa. Bila kuambiana ukweli hatuwezi kufika popote.
Kama aliyeandika anasoma UDOM its true hiki ni chuo cha Kata yaan haeleweki kabisa.