Aliyefanya ABORTION hapa UDOM alaaniweeee,mpk kufa.

vice UDOM

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
204
Reaction score
9
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
 
Andika kama msomi, msiwashawishi watu waamini kuwa chuo chenu ni cha kata
 
vice UDOM Join Date : 24th August 2013 Location : tabora manispaa Posts : 180 Rep Power : 348 Likes Received 3 Likes Given 0
 
Last edited by a moderator:
Kama aliyeandika anasoma UDOM its true hiki ni chuo cha Kata yaan haeleweki kabisa.
 
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.

Hahahaaa. vice UDOM ndio umejifunza kuandika ukiwa chuoni nini? Mtoto wangu wa miaka 6 anaweza akaandika vizuri na kueleweka kuliko wewe!
 
Last edited by a moderator:
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.

calm down kaka! Em tulia kidogo najua unamawazo na umeyashusha kama yalivyo!! Lol
enhee ilikuweje hadi ikawa hivyo ?lini? Em tupe full storry kama kweli. Me nmekuelewa ila em fafanua vizuri .

Then kwani sister wa catholic ndo nini?atajisikia vibaya ila watu kufanya yao watafanya tuu na hii dunia ilivooza!!
 
Nimegundua watu fata upepo kinyama humu!! Yani mtu anaangalia wengi wanasemaje?then ndo anacomment according to views za mtu.

And kiukweli mleta mada anapoint ila hajajieleza vizuri ila sio kiasi cha kumdharau ama kumshusha!

Watu mnajishongondoa wakati mapopompo tuu na nyie kichwani!

Wengine kujieleza kama wamesoma literature hawawezi ila sio kwamba hawajui wanachoongea! Saingine muwe waelewa.. Stop hating!jus try kuwa mwelewa hata ndoa zenu zitadumu!

Vidharau vya kilocal jifanyie mwenyewe kabla hujafanya kitu it will make u a better person than him!!

Mnadharau chuo wakati ndugu zenu wengine wanalilia nafasi za education waje kuwafundisha wanenu!

****JIWE GIZANI..UKISIKA YALAAAAAAHHHH..... (......)

okay BYE!
 
Mkuu kaeleweka sema huu uzi upo mwingine uliwekwa jana kuhusiana na issue hihi......jifunze kuandika vizuri mkuu kwa ufafanuzi zaidi..
 
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
unaonekana ni kijana wa kizazi cha mulugo
 
Yes, sio vizuri kuponda chuo fulani wakati hata hujui una nn kichwani hata kama unajiona umesoma chuo kilicho juu, bt remember vilaza wapo mahali pote, dharau sio issue, ajikwezaye atashushwa, nakiumbuka speech ya mwl nyerere mwaka fulan kuhusu maendeleo ya africa, alisema tu masikini kwa sababu hatuunganishi pamoja tulivyojaariwa ili kuondoa gaps, pia alisema ili tuendelee tuwe na moyo wa kuinuana, hasa kwa dharau tulizo nazo ss wa Tz tutaishia kuwa na Poor mind set, tuacheni hii tabia, tuelimike, angalia unalifanyia nn Taifa
 
Vyuo vyote vipo sawa kinachotofasutisha ni nn chuo kinaprovide yaani fan zip cz kila chuo kina uniquines zake
 
Nimegundua watu fata upepo kinyama humu!! Yani mtu anaangalia wengi wanasemaje?then ndo anacomment according to views za mtu.

And kiukweli mleta mada anapoint ila hajajieleza vizuri ila sio kiasi cha kumdharau ama kumshusha!

Watu mnajishongondoa wakati mapopompo tuu na nyie kichwani!

Wengine kujieleza kama wamesoma literature hawawezi ila sio kwamba hawajui wanachoongea! Saingine muwe waelewa.. Stop hating!jus try kuwa mwelewa hata ndoa zenu zitadumu!

Vidharau vya kilocal jifanyie mwenyewe kabla hujafanya kitu it will make u a better person than him!!

Mnadharau chuo wakati ndugu zenu wengine wanalilia nafasi za education waje kuwafundisha wanenu!

****JIWE GIZANI..UKISIKA YALAAAAAAHHHH..... (......)

okay BYE!

Sasa wewe unatetea ujinga? wewe na akili zako timamu unaweza andika kama alivyoandika na kuwakilisha kwenye jukwaa kama hili? Halafu eti tuwe na sympath na watu kama hawa?? Mimi sikubaliani na wewe kabisa haiwezekani mwanafunzi tena wa chuo anashindwa kuandika sentensi tano kwa ufasaha ili kuweza kuwakilisha kwenye haraiki kubwa kama hapa JF. Na wewe ndo hamnazo kabisa huna tofauti na wafinyu wa kufikiri wenzako walioamua kushusha viwango vya ufaulu ili wengi wafaulu....u******u kabisa. Bila kuambiana ukweli hatuwezi kufika popote.
 
shosti jiheshimu...acha papara...relaaax...chilllout babe uelewe nilichoandika!

sina nilichotetea ila ni ukweli wa post na reaction za mapopompo miku...* kama wewe! jinsi ya kumwambia mtu kiufinyu kama ufupi wa akili zako nakubaliana nawewe kuwa hatuwezi fika..
ila kama wewe unaniona mie sina akili timamu bathi thawa we dhako dhidhotimia kama ndo dhimeishia kuelewa mpaka apo... bathi wahitaji doctor bibie...!:A S-confused1:
ukute unajishongondoa apa while you are in the same group discussion:smile-big: and he is ur group leader!!

usipende kukurupuka kujibu uonekane umo..elewa point..soma ikibidi andika summary ndo ujibu.
as*****le
:frusty::frusty::frusty:
byeeee
 
Back
Top Bottom