SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana.
Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi ya kuongoza kundi.
Msikose hili darasa huru, njoni na peni na daftari lenye mistari. Hamna haja ya kubeba calculator, hazihitajiki. Hamna sababu ya kukosa wakati tumewasevu gharama za usafiri. Supu zitakuwepo!
Naombeni kuwepo ulinzi wa kutosha ili hawa wanafunzi watukutu wasije kuvunja screen.