Aliyefikiria kupeleka mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga alifikiria mbali sana

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana.

Uto tumekuja kwenu kuwaonyesha siyo tu jinsi ya kwenda robo fainali ukiwa na mechi moja mkononi, lakini pia jinsi ya kuongoza kundi.

Msikose hili darasa huru, njoni na peni na daftari lenye mistari. Hamna haja ya kubeba calculator, hazihitajiki. Hamna sababu ya kukosa wakati tumewasevu gharama za usafiri. Supu zitakuwepo!

Naombeni kuwepo ulinzi wa kutosha ili hawa wanafunzi watukutu wasije kuvunja screen.
 
Subiri mashabiki wakakabwe ndio mate akili
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama mwembe Yanga hii hii karibu na mtaa wa ngende huyo jamaa aliyetoa hilo wazo apewe maua yake,maana ndipo wanapostahili kucheza
.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama mwembe Yanga hii hii karibu na mtaa wa ngende huyo jamaa aliyetoa hilo wazo apewe maua yake,maana ndipo wanapostahili kucheza
.
Kucheza tena?
 
Mnapotaka kulala Yanga ndio tumeamkia huko...tumekipiga fainali ewe kolo
 
Kuna tetesi MC Algier wamealikwa kuwepo Mwembeyanga. Hii pare so ya kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…