Aliyefungwa kwa baraghashia yu huru

Aliyefungwa kwa baraghashia yu huru

yes.......waislamu wanjaribu kutumia ujanja kulazimisha serikali kushindwa kuongoza...yaani serikali itende kwa matakwa yao......si unaona wanavyotoa vitisho kwa nyakati tofauti na kwa mambo tofauti?..wameshaitishia kutoipigia kura ccm km haitaweka sawa suala la mahakama ya kadhi wakati tz sio ccm tz ni sisi wananchi na serikali haina dini.......

Nashukuru ndugu umeliona hili.....wale wanaoshinda Madrasa al sul wangependa sana nchi isitawalike kwa misingi ya kisheria. Kazi yao nikuweka chuki na kulia lia bila sababu. Hakuna mahakama ya kadhi, sharia wala kujiunga na IOC ni kuvunja katiba ya nchi yetu isiyo na dini.
 
yes.......waislamu wanjaribu kutumia ujanja kulazimisha serikali kushindwa kuongoza...yaani serikali itende kwa matakwa yao......si unaona wanavyotoa vitisho kwa nyakati tofauti na kwa mambo tofauti?..wameshaitishia kutoipigia kura ccm km haitaweka sawa suala la mahakama ya kadhi wakati tz sio ccm tz ni sisi wananchi na serikali haina dini.......
Wanai-manipulate Serikali,hasa kwa kipindi hiki nyeti cha uchaguzi,wanachelea kukosa kura wanazohitaji ili washinde kwa kishindo..........
 
JAMANI..ili kuwa objective binafsi nionavyo, Hakimu alitumia madaraka yake excessively katika kuaddress uvaaji wa barakashia mahakamani.Ki etiquette ya mahakama, kofia huvuliwa mtu awapo kizimbani.

Sasa huyu mzee wa miaka 60, ukimfunga kwa vile kakataa kuivua, angeweza kumwelewesha tu kuwa akiwa anaenda mahakamani siku nyingine ajue huo uvaaji hautakiwi.Angeweza pia akamezea maadam mtu wa miaka 60 ni mzee na huu ni mwezi wa mfungo.

Mimi siliangaliii hili suala kwa misingi ya dini bali ni kwa misingi ya matumizi ya busara tu....Kukosekana busara kumepelekea kuamsha sensitivities nyingine which are uncalled for.
 
Ziko mbili hizi... Mods, ziunganisheni tafadhali
 
Suala linalojadiliwa hapa ni sheria. Je hakimu ndiye alikiuaka sheria au huyo mzee.Huwezi mtu vunja sheria za nchi kwa kisingizio cha uzee au utoto.Kama ingekuwa hivyo nchi isingetawalika.
 
Ilikuwa wazi kuwa mzee alionewa. Inaelekea hakimu alisha vuta chake mapema
 
utakata rufaa ngapi?
I)pingamizi la dk slaa kwa kikwete
2)kukimbia kwa wabunge wachadema kwenda ccm
3)kesi za chenge, mramba dhidi ya ufisadi
4)
5)

siku nyingine muwe na adabu mahakama sio choo cha kuchezea unaingia unavyotaka shukuruni bakwata na mh sana angekuwa nyerere huyo aliemtoa na mamayake na familia chapa bakora weka ndan
 
Hawa akina Wilb. ndivyo walivyo.Wana chuki sana na waislamu na wanapenda kutumia nafasi zao kutekeleza chuki.
Yapo maeneo mengi ambako mavazi yetu waislamu ati hayafai.Tunasubiri siku ikifika tutampelekea Jaji kiongozi.

mavazi yenu au ya mashariki ya kati?
 
Hawa akina Wilb. ndivyo walivyo.Wana chuki sana na waislamu na wanapenda kutumia nafasi zao kutekeleza chuki.
Yapo maeneo mengi ambako mavazi yetu waislamu ati hayafai.Tunasubiri siku ikifika tutampelekea Jaji kiongozi.

ndiye kama kadhi kiaina.
 
Hawa akina Wilb. ndivyo walivyo.Wana chuki sana na waislamu na wanapenda kutumia nafasi zao kutekeleza chuki.
Yapo maeneo mengi ambako mavazi yetu waislamu ati hayafai.Tunasubiri siku ikifika tutampelekea Jaji kiongozi.

Sheikh kwanza Asalam alaikum na ramadhan Mubarak napenda kukualika futari nyumbai hehehe.... Mkuu hiyo ni kesi moja tu iliyoripotiwa na viombo vya habari na imelenga waislam kuna ngapi za chuki dhidi ya mambo mengine kwa wanyonge wa nchi hii? pengine kuna watu wamepigwa miaka kwa kupiga chafya ila haijaripotiwa na mtu akatumikia!

Tatizo mahakimu wetu sijui ni voda fasta?
 
Suala linalojadiliwa hapa ni sheria. Je hakimu ndiye alikiuaka sheria au huyo mzee.Huwezi mtu vunja sheria za nchi kwa kisingizio cha uzee au utoto.Kama ingekuwa hivyo nchi isingetawalika.

Nakuelewa vizuri kabisa........... na ndio maana kuna kesi za public interest..... na ndio maana mara baada ya hukumu, mahakama kuu iliitisha kesi for revision na kugeuza hukumu. Tusiangalie tu sheria bila kuzingatia other factors which are also material. Kuvua baraghashia kizimbani, au kuvua kofia, tuelewe kuna akisi mila na desturi za wakoloni waliotutawala na kuleta taratibu zao. Kwani sisi hatuna mila na desturi zetu? Wengine watasema baraghashia siyo utamaduni wetu, lakini tunajua kabisa kuwa utamaduni wa kuvaa baraghashia na mavazi mengine yasiyo ya kiafrika. Mwisho wa siku tumeona madhara ambayo yangeweza kutokea kama mzee wa watu angeendelea kufungwa.
 
Bunge ndo chombo kinachotunga sheria na mahakamani msimamizi wa zile sheria zilizotungwa,sasa kama watunga sheria wetu wanavaa baraghashia wakiwa humo katika mjengo huo wa kutunga sheria(Bunge) iweje mahakama akataze hilo?haliniingii akilini na kama sheria ipo hiyo kuna haja ya kufanya marekebisho.
 
WOS kwenye hii thredi huna substance. Credibility yako inashuka.
 
Najua wengi wangependa kuona mtizamo tofauti but im just being objective bila kujiegemeza kwenye imani yoyote substance or not. Pole kama its not up to your liking but these are my personal views.
 
Mkuu hivi unaakili wewe ama? Nimesema nitaka rufaa wa baragashia arudi jela hiyo orodha umeitoa Madrasa

Hivi yule hakimu alikuwa ana hukumu kofia au alitakiwa kusimamia haki..hizi shule za st. nuksi yeye anaangalia kofia..

Anyway, tuliwapa siku saba baada ya siku tatu wakamtoa mwananchi wetu...

Mean while, tunashughulikia swala la huyu hakimu anafaa kuwepo mahakamani kwenye chombo cha haki? elimu yake vipi? ukute kasoma kanuni za kanisa? unajua naye ni wilbod eti?

tuko pazuri anaweza kutupwa rukwa kwanza aonje joto la kijijini akirudi atakuwa na akili timamu...
 
Hapo kwenye bold nyekundu ndio napataga shida sana kuelewa. Hivi jambo linapojadiliwa ni lazima kuingiza kashfa hata pale ambapo hapahusu?

Unapotukana shule za st... ilhali hata wasiohusika na st..hupeleka watoto wao huko ina maana mtu unahulka tu ya kutukana bila sababu?

Kwenye bold nyeusi - hapo ndipo hufanya mtu ajiulize, je, mwenye hoja kama hizi ana kisomo chochote kinachomsaidia kufafanua mambo au ni mradi kaingia darasani akatoka na cheti!

Kwamba huyo hakimu atatupwa rukwa au wapi huna mamlaka nalo. Kwamba ali overstep authority na kutoa excessive punishment inaweza ikawa ndio issue..issue siyo kuuchukia uislam wala kupendelea dini yoyote.
 
WOS, umejitakia mwenyewe... mwenzio huyo ana agenda yake na wala si haki ya huyo aliyefungwa, yeye kaja hapa na politikal agenda lile jukwaa lao limedoda siku hizi
 
uvaaji wa kofia (hats) unakatazwa mahamaki kwa sababu unachukuliwa kuwa ni ukosefu wa heshima ( kimsingi wa mtazamo wa mkoloni, huwezi kuongea na mtu unae muheshimu na ukavaa kofia kwa mila na taratibu za ki western)

suala linakuja Tanzania kuvaa kofia kama baraghashia ni uvunjaji wa heshima? mbona bungeni watu wanavaa? mbona makazini vile vile?

suala jengine, jee kifungo cha miezi sita ilikuwa ni hukumu stahili hata kama kama kosa lilitendeka?

kama alivaa kofia kama kofia hivyo inavyovaliwa kikawaida bila ya kuonyesha dharau ya aina yoyote, basi sheria si dhani kama ilikuwa ikimruhusu hakimu kutoa hukumu kali kiasi kile
 
kweli kabisa, kila sehemu ina taratibu na sheria zake... sasa huyo mzee kwanini yuko huru?
 
yuko huru kwa sababu mahakama kuu iliona kuwa ulikuwa si uamuzi sahihi lakini wengine ndio wanaona mahakama kuu imeamua tu vile kwa sababu ya shinikizo la waaislam

labda wos anaweza kutusaidia ..............jee kuna sheria ya maandishi inayokataza kofia mahakamani?
 
Back
Top Bottom