cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
hii nguvu unayotumia unalipwa mama?na hivi ile mofaya imefikia wapiiKumbe huwa unamfatilia safi kabisa. Sasa tuje hapa kiba kakopy mashairi kama unavyosema. Ila domo ana paste kila kitu anzia mashairi,nguo,aina ya kucheza,midundo haachi kitu kama watu wa buza na bajeti yao ya kuku utumbo,miguu vyote vinaliwa