gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
Kumbe ni stori milidhani ni kitu kilichotokda kweli
Lazima kungekua na picha... Its probably a cooked story!
Hahahaha, sasa kwa nini alipelekwa polisi???Ni kweli ilitokea..
Jamaa alienda bafuni kuoga,alipojimwagia tu maji akageuka chatu!
Inasemekana ni mambo ya dawa za mapenzi,sasa ukiziendekeza ndiyo kipindi hicho kuna waganga walikuwa wakiwapa wadada vitu watie kwenye maji ya kuoga mume.
Kwa huyo bidada ikamtokea hayo...! Tena ilikuwa nyumba ya kupanga...
Hahahaha, sasa kwa nini alipelekwa polisi???
Alikua binadamu vipi? Watu walikuta chatu bafuni,Ilibidi... Si kituo cha usalama..?
Na yule alikuwa binadamu,kwenda herufi sita kuripoti lazima...
Mi nilikua (na bado nipo) mkoani. Sikuwahi pata hiyo habari,Nimegundua wengi humu ama walikuwa wadogo sana mwaka 1987 au walikuwa mikoani huko manake hii stori ilibamba sana kwenye kila kona ya jiji.
Kwa waliokuwepo Dar enzi hizo lazima watakuwa waliisikia tu.
Hapo alikogeuka mbele za watu ilikua ni watu ngapi?
So polisi waliona Chatu, hawakuona mtu sio?
Mi ningependa nipewe tu chronology of events kwanza.Kusema kweli mimi sikuwepo hivyo sikuweza kushuhudia kwa macho yangu. Ila ni stori ambayo ilibamba sana.
But I think it was just one of those urban legends.
Mi ningependa nipewe tu chronology of events kwanza.
Kuna watu wanasema aligeuka mbele za watu
Wengine wanasema aligeukia bafuni...
Who remembers the story as it was told then?
NN wewe unakumbuka nini please? In what order?
Hahahahaha, ok. So he was half man-half python?My recollection is too vague to give you the chronological order of the event(s).
All I remember is that the guy's wife supposedly did put some love potion in the bucket of water that her husband used to take a shower with and it didn't turn out as expected as he morphed into a half man-half python.
It was some crazy shit.
Hahahahaha, ok. So he was half man-half python?
If this is the case then there is more to investigate on.
Mi nilidhani walikuta nyoka bafuni and they all agreed that it was the guy.
Ngoja Hunsinyo aje atwambie na yeye anakumbuka nini.
Ilikua ni pande gani niwaulize watu wangu wanaoishi dar?
Ngoja nimtafute... I have developed a strong interest in this storyUnajua bana enzi zile hakukuwa na hizi social media wala handheld communication devices, kwa hiyo hata habari zenyewe zilivyokuwa zinaenea ilikuwa zaidi kupitia word of mouth.
Redio yenyewe ilkuwa moja na hata magazeti yenyewe yalikuwa mawili au sijui matatu yale...
So you can imagine how scanty the information was.
Kama Balantanda akipitia hapa labda anaweza akaongezea mawili matatu maana yeye namuaminia ikija kwenye kumbukumbu....
Ngoja nimtafute... I have developed a strong interest in this story
Sijui ni uvivu tu, au ni kitu gani kimenivutia, I just want to know more. lol
Lolz 'something' is lying to you NN. Umesema ni 87?Something tells me you were still too young around that time to remember :wink2:
You probably were not even potty-trained yet...
Asante kaka. Unaweza kutupa habari ilivo ripotiwa?Hii mambo ilitoke buguruni gazeti iliyojaribu kuripoti ni 'mfanyakazi' sijui limefia wapi?
Asante kaka. Unaweza kutupa habari ilivo ripotiwa?
Hata kama hukumbuki jina, twambie tu mambo yalivo tokea.
And why not? 🙂Hmmm Mwali mbona umevutiwa sana na hii stori?
Amy, mzima wewe?