Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, I am a bit skeptical by nature, hivo naomba uniruhusu niulize maswali mengine:Mwali......
Magazeti ya zamani(Uhuru, Mzalendo, Mfanyakazi, Daily News, Sunday News na baadae Motomoto) yalikuwa na waandishi waliotukuka.....Hayakuwa na waandishi makanjanja kama ilivyo sasa,kipindi hicho hakukuwa na ushindani wowote wa Kibiahsara katika tasnia ya Habari na Mawasiliano....Pia hakukuwa na ushindani wowote wa kisiasa maana ilikuwa ni kipindi cha mfumo wa chama kimoja....
Kwa walioshuhudia wanasema ni kweli tukio hilo lilitokea,jamaa alibadilika kuwa Chatu japo hakuwa na madhara....Na kama sikosei mwanamke alimtaja hadi Mganga aliyempa dawa hiyo ya kwenda kumuwekea mumewe Limbwata....
Hakukuwepo na dalili wala hisia zozote za mwanaume huyo kuuliwa na mkewe....
Mkuu, I am a bit skeptical by nature, hivo naomba uniruhusu niulize maswali mengine:
Hivi process ya mtu kugeuka nyoka ingekua ni kweli si tungeitumia kwa vitu vingi?
Just imagine all the things humanity could do if we could indeed metamorphose into snakes (or dogs)
Ni rahisi zaidi kuamini kua huyo mtu aliuwawa na huyo mwanamke (katika mpango wa kumwekea limbwata)
then mwanamke alipoenda kumwambia mganga nini kilitokea mganga akampa chatu
na akamwambia wewe sema huyu chatu ndio mume wako, maiti tufiche.
Kwa ane mjua chatu, chatu hanaga makuu. it doesn't bite, it eats twice or trice per year
Kwa hiyo huwezi kumpata chatu mkali, never. But it is an impressive animal so ni rahisi kutunga story dhidi yake
Magazeti yalishindwa kwenda beyong police report ambayo na yenyewe ilikua biased (I assume)
This would have been my first assumption as Sherlock Holmes... 🙂
Fikiria tu anatomy ya nyoka, linganisha na ya binadamu...Maswali yako hata mi kwangu yananijia,kutoka Binadamu mpaka kuwa Nyoka!! Na watuambie huyo nyoka alibadilika tena au
Asante sana Mkuu, umetupa elements nzuri za kuanzia uchunguzi.
Binafsi nashindwa kabisa kuamini kua mtu anaweza kugeuka chatu.
Gazeti zinaandika story sababu zinataka kujiuza, sio lazima iwe kweli.
Swali langu la kwanza ni hili: Watu walijuaje kua yule chatu ndio yule Mwanaume?
Chatu alikua half man half chatu au alikua ni chatu mzima mzima?
Hivi haiwezekani mama katunga hiyo story kwa kuficha story kubwa zaidi?
Imagine: Kama alimuua mumewe kwa sababu anazo zijua mwenyewe,
Au kama mume na mke walipanga kupotea kwake (kwa kukimbia majukumu fulani)
si inakua easier kusema mume kageuka chatu, so that the prosecution focusses on this joke
Kuliko kufocus on a serious case of mtu kutoweka na maiti yake kutopatikana?
Sasa kama kuna mbao walimuona (hadi kusema ni chatu mwanamke), polisi walikanusha nini?huyu baba alikua chatu kuanzia kwenye shingo kwenda chini. Kichwa yake ilibaki vivevile. Lakini bado walisema ni chatu mwanamke! Hakuna picha iliyotoka zaidi ya vikatuni
Polisi walitoa taarifa kukanusha tukio hilo kuwepo
Kwahiyo akageuka chatu, watu wakakamata chatu wakapeleka polisi sio? Orait!Hapo alikogeuka mbele za watu ilikua ni watu ngapi?Inavyosemekana aligeuka mbele ya watu halafu akapelekwa kituo cha polisi ambako kuna watu pia walimuona.
So polisi waliona Chatu, hawakuona mtu sio?
Hahahaha, this is another explanation to it. hahahahaatakuwa yule baba alienda kuoga
bafuni kulikuwa na chatu
akammeza, kichwa kikakataa kupita mdomoni
ndo akawa chatu na kichwa cha bin adam.
Mwali......Nimepata ujumbe wako.....
Hiyo stori ni kweli ilitokea na ilikuwa ni mwaka 1987.....Kilichotokea ni kwamba mwanamke alienda kwa mganga kutafuta dawa(limbwata) ili amuwekee mumewe kwenye chakula na maji ya kuoga.....Lengo la kufanya hivi ilikuwa ni kutaka apendwe zaidi,jamaa afe aoze kwake.....Cha ajabu ni kwamba mara baada ya jamaa kula chakula na kuoga alibadilika kuwa nyoka aina ya Chatu....Waliomshuhudia wanasema alikuwa ni chatu aliye mpole na asiye na madhara yoyote...Chatu huyo alibebwa na kupelekwa kituo cha Polisi Buguruni.....Mwanamke alikamatwa na kesi hata haijulikani iliisha vipi na hatima ya huyo jamaa ilikuwaje...
Habari hii iliandikwa sana kwenye magazeti ya Uhuru, Mfanyakazi na Daily News.....Kilikuwa ni kisa cha ajabu lakini cha kweli....
Kisa hiki kilepelekea hata mtunzi na mchoraji wa Kitabu cha Mzee Panga la Shaba(Baba Ufudu) katika moja ya matoleo yake kuweka kisa cha mwana mama aliyeenda kwa mzee Panga la Shaba ambaye alikuwa ni mganga wa kienyeji kwa lengo la kuchukua Limbwata la kumuwekea mume wake ambaye alikuwa ni tajiri sana(mtu mwenye uwezo mkubwa kifedha)....Baada ya mwana mama huyo kumuwekea dawa mume wake,mumewe alibadilika na kuwa mbwa na katika hali ya kushangaza mwanamke huyo alirudi kijijini Visiga kwa mzee Panga la Shaba na kuwa mke wa mzee huyo.......Hiki kilikuwa ni kisa kilichotungwa kutokana na tukio la yule jamaa wa Buguruni aliyegeuka Chatu....
Hahahaha, this is another explanation to it. hahahaha
Daaah...nilijua tu ukitia timu hapa lazima watu tutapata data zaidi. Shukrani sana Nkwingwa!
dah NN how old are you ? inaonekana umekuwepo hapa duniani kitambo mpaka story ya 87 unaikumbuka vizuri
Mkuu, I am a bit skeptical by nature, hivo naomba uniruhusu niulize maswali mengine:
Hivi process ya mtu kugeuka nyoka ingekua ni kweli si tungeitumia kwa vitu vingi?
Just imagine all the things humanity could do if we could indeed metamorphose into snakes (or dogs)
Ni rahisi zaidi kuamini kua huyo mtu aliuwawa na huyo mwanamke (katika mpango wa kumwekea limbwata)
then mwanamke alipoenda kumwambia mganga nini kilitokea mganga akampa chatu
na akamwambia wewe sema huyu chatu ndio mume wako, maiti tufiche.
Kwa ane mjua chatu, chatu hanaga makuu. it doesn't bite, it eats twice or trice per year
Kwa hiyo huwezi kumpata chatu mkali, never. But it is an impressive animal so ni rahisi kutunga story dhidi yake
Magazeti yalishindwa kwenda beyong police report ambayo na yenyewe ilikua biased (I assume)
This would have been my first assumption as Sherlock Holmes... 🙂
Mwali......Nimepata ujumbe wako.....
Hiyo stori ni kweli ilitokea na ilikuwa ni mwaka 1987.....Kilichotokea ni kwamba mwanamke alienda kwa mganga kutafuta dawa(limbwata) ili amuwekee mumewe kwenye chakula na maji ya kuoga.....Lengo la kufanya hivi ilikuwa ni kutaka apendwe zaidi,jamaa afe aoze kwake.....Cha ajabu ni kwamba mara baada ya jamaa kula chakula na kuoga alibadilika kuwa nyoka aina ya Chatu....Waliomshuhudia wanasema alikuwa ni chatu aliye mpole na asiye na madhara yoyote...Chatu huyo alibebwa na kupelekwa kituo cha Polisi Buguruni.....Mwanamke alikamatwa na kesi hata haijulikani iliisha vipi na hatima ya huyo jamaa ilikuwaje...
Habari hii iliandikwa sana kwenye magazeti ya Uhuru, Mfanyakazi na Daily News.....Kilikuwa ni kisa cha ajabu lakini cha kweli....
Kisa hiki kilepelekea hata mtunzi na mchoraji wa Kitabu cha Mzee Panga la Shaba(Baba Ufudu) katika moja ya matoleo yake kuweka kisa cha mwana mama aliyeenda kwa mzee Panga la Shaba ambaye alikuwa ni mganga wa kienyeji kwa lengo la kuchukua Limbwata la kumuwekea mume wake ambaye alikuwa ni tajiri sana(mtu mwenye uwezo mkubwa kifedha)....Baada ya mwana mama huyo kumuwekea dawa mume wake,mumewe alibadilika na kuwa mbwa na katika hali ya kushangaza mwanamke huyo alirudi kijijini Visiga kwa mzee Panga la Shaba na kuwa mke wa mzee huyo.......Hiki kilikuwa ni kisa kilichotungwa kutokana na tukio la yule jamaa wa Buguruni aliyegeuka Chatu....
Naamini ulikuwa uzushi, sikuwahi kuiaamini hii habari hata mara moja, tatizo la kipindi kile ilikuwa ni upatikanaji wa habari! Habari za kizushi zilikuwa zikipaishwa haraka mno, na jamaa wa mdundiko wakitengenezea vina lazima isambae! Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi uzushi wa nyonya damu na kifo cha straika wa mabondia wa jangwani edgar fongo uliibuliwa kipindi hicho hicho!
Sikatai kila kitu katika hii story. I am just thinking aloud hapa.Kwa hiyo Mwali, ni kwamba unakataa stori kama hiyo haikuwepo au?
Sikatai kila kitu katika hii story. I am just thinking aloud hapa.
Kuna vitu vilitokea kweli
Kuna mwanamke alienda kwa mganga (proof: confession ya mama)
Kuna mganga alipana dawa (limbwata) (Proof: testimony ya mama)
Kuna mwanaume alipotea baada ya kutumia hizo dawa (proof: confession ya mama/fact)
Kuna nyoka alipatikana bafuni (Proof: testimony ya watu)
Then kuna areas nyingi ambazo sio clear:
Nini kinaonesha kua huyo nyoka ndio yule mtu?
Yule mtu alionekana lini na wapi mara ya mwisho na nani anaweza kutoa ushahidi?
Ukitumia hizo elements zenye uhakika mkubwa kwa kujibu haya maswali
kuna hypothesis nyingi zinatokea (ya magazeti na yangu zikiwemo)
Unless mtu aniongezee facts zingine itakua ngumu sana kuamini hii story nzima nzima (if at all)
Hahahaha, true mkuu... nilitaka tu tufikirie critically kidogo.Mwali, mimi naona unahangaika bure tu kuwaza na kuwazua kuhusiana na hiki kisanga!
Kwa wengi wetu, hii stori inabakia kuwa moja ya urban legends tu kama ilivyokuwa mambo ya mumiani au ule mbuyu pale St. Peters!