FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Huyo mzee alishakufa wamemuweka mtu mwingine..nadhani
GENTAMYCIME anatembelea V8 new model mkuu hawezi kuwa involved kwenye ajali kama hizoKama chai hivi ,maana amebadilika kawa kama msanii au muigizaji wakati muda tukio linatokea alikuwa kama GENTAMYCINE amechoka sana..
Sasa wamweke mwingine na ndugu wakae kimya??Huyo mzee alishakufa wamemuweka mtu mwingine..nadhani
Chezea kuumwa ww lazma upukutikeYule alikuwa kibonge pia