Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

Wakikaa kimya kwan inakuaje kwan wanadaiwa [emoji1]
Screenshots_2023-03-28-19-21-26.jpg
 
Probabilities/ uwezekano:

1: Weupe usoni, kutokana na mashine alizowekewa kwajili ya kupumua na oksijen.

2: Body mass/ukubwa wa mwili kupungua. Kulingana na uwezo wa kupewa chakula na kula mwenyewe.

3: Ujana/kunawili more balanced diet ya mgonjwa.

NB: Kula mlo kamili kunaweza j
kukufanya kuwa na mwili mdogo lakini ulionawili.
Mkuu nchi hii ni ngumu kweli.. yani mtu atoke ICU...aende extensive care..arudi kama alivyokua!?

Imagine mtoa mada anapata kabisa watu wanasapoti upumbavu wake huoo..
 
NAPEND KUJUA KAMA HUYU NDUGU YETU AMELIPWA FIDIA AU NDIO WANATAKA AANZE KUHANGAIKA NA MAKARATASI KWENYE MAOFISI YA MWENDO KAZI
Isije ikawa kuna wajanja washakula kupitia mgongo wake

Ova
 
Back
Top Bottom