Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

Aliyegongwa na mwendokasi aruhusiwa, aliingia mzee mweusi, ila katoka kijana mweupe, tunaomba ufafanuzi

Mnaoelewa kinachoendelea tunaomba majibu, mtu anaingiaje hospitali mzee na mweusi, halafu anatoka mweupe kijana? Picha chini inajieleza


Acheni basi majungu...Kama ulikuwa unamfaham weka picha yake hapa inayo onekana vizuri (kabla ya ajali) na kama huna picha inayojieleza vizuri futa hiki ulicho andika.
Kwa mtu anayejua kusoma picha, aliyegongwa alionekana anatembea kwa nguvu (kijana); kuna mzee anaweza kutembea kwa ukakamavu vile???. Lakini hapakuwa na sababu yoyote ya kudanganya; Kwani kama wangesema amefariki nani angewauliza?
ACHENI MAJUNGU NA MTUMIE HUO MUDA KUFIKIRIA MAMBO MENGINE YA MSINGI
 
Ufafanuzi wa nini, kama unaona anafaidi nawe kagongwe na gari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787]
 
serikali ipate faida gani kuficha ajali/kifo cha huyo muhanga !!
Huyo mtu alikuwa na kitu gani muhimu mpaka serikali ifiche taarifa zake?
Ajali asababishe mtu mwingine kwa uzembe halafu serikali iingilie kati ifiche taarifa!!!?
Tuache ujuaji usiokuwa na maana,
 
Back
Top Bottom