Aliyehongwa ubalozi na kusema Katiba Mpya sio muhimu leo anasema hayupo tayari kuhongwa?

Umelipwa ngapi kumtungia uongo?
 
Uu
Slaa na Lipumba walitusaliti sana 2015 tuna iona ccm imekwisha mzuka kabisa hawa wasaliti wakawapa nguvu ya kutuibia kura
Slaa na Lipumba walikua na haki ya Kukaa pembeni 2015 baada ya Mbowe kuuza Chama.
Binafsi huwa namwona Mbowe kama Msaliti bora wa wakati wote wa Upinzani ni Mpumbavu kupindukia na Ukikomalia siasa sake utapata kilema huku yeye akijaza Tumbo.
Alichokosea Slaa ni kukubali kukaa Mezo moja na CCM akidhani anapoza machungu na si vinginevyo.
Mbowe popote Ulipo Maumivu ya Watanzania wenye Upinzaji wa Dhati yakuandame.
CCM mtupu yule Nyang'au Chawa Mkubwa.
 
Anatapatapa na kuweweseka,huyu aliwauza Chadema Kwa bei ya kuwa Balozi 😂😂😂😂
 
Nina furaha isiyo kifani kwa yanayo mkuta Slaa
Mimi ninachoamini hiki kinachomkuta Slaa ni Move ya CCM na kitengo kumtengeneza Slaa ili aaminike tena kwa wapinzani halafu AWAVURUGE TENA UCHAGUZI UJAO WA 2025.

Mtaikumbuka hii comment yangu
 
True! Huyo Babu ni hypocrite
 
Duh!...
 
Mimi ninachoamini hiki kinachomkuta Slaa ni Move ya CCM na kitengo kumtengeneza Slaa ili aaminike tena kwa wapinzani halafu AWAVURUGE TENA UCHAGUZI UJAO WA 2025.

Mtaikumbuka hii comment yangu
Hakuna mpinzani atamuamini Slaa tena
 
Slaa na Lipumba walitusaliti sana 2015 tuna iona ccm imekwisha mzuka kabisa hawa wasaliti wakawapa nguvu ya kutuibia kura zetu.
Yaani afadhali hata ya Lipumba kuliko Slaa... Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Lissu kupigwa Risasi Lipumba aliongea kulaani japo hakuwa vocal sana, ila Slaa hapana
 
Matako yake,ata kama wangepita naye ingekuwa poa tu,mazafaka alituuza 2020

Pumbavu zake
Slaa alitufanyia unyama sana wapinzani.

Kamwe hawezi kupata huruma yoyote kutoka kwa wapinzani wa kweli hapa Tanzania.

Ashukuru Mungu wakati anakamatwa juzi aliunganishwa na kina Mdude vinginevyo watu wangekaa kimya tu.
 
Slaa alitufanyia unyama sana wapinzani.

Kamwe hawezi kupata huruma yoyote kutoka kwa wapinzani wa kweli hapa Tanzania.

Ashukuru Mungu wakati anakamatwa juzi aliunganishwa na kina Mdude vinginevyo watu wangekaa kimya tu.
Team Lowasa alitupa wakati mgumu sana kupata zile halmashauri,majimbo na Kata zote zile

Akafie mbele
 
Mpumbavu ni wewe unayemuamini huyo mwanasiasa kigeugeu pamoja na uthibitisho wa ukigeugeu wake

Hata JK angempa cheo mbona angefunga tu domo lake
 
Atubuye hussmehews.

Shetani yeye husshia kwenye kushtaki shtaki

Kama aliona kuwa alikosea, basi haki ya kujisahihisha anayo.

Wana wa uasi walimhukumu hadi Mwana wa Mungu
Point ni kuwa Slaa hana hiyo integrity anayodai anayo, kusamehe anasamehewa ila tunajua hana huo msimamo na uadilifu anaojitapa kuwa nao
Mwizi hata ukimsamehe hutakiwi kumuamini tena
 
Slaa yupo huru kukosoa lakini asijitape kuwa na msimamo wa uadilifu, anahongeka vizuri tu
 
Uwe na akili basi,

Angejua ni Hongo asingekubali kuupoteza ubalozi angeufyata.

Rais ni wa Watanzania, anapoteua watu Si Hongo ni kikatiba na SHERIA.
 
Slaa alikuwa na haki ya kuhama chama, lakini hana uadilifu wowote
Kusema tundu Lissu kupigwa risasi ni jambo la kawaida ulikuwa ni upumbavu mkubwa sana

Kusema Mbowe kutungiwa kesi ya ugaidi ni sawa huku akijua kabisa mfumo wetu wa serikali kubambikizia wapinzani kesi pia ilikuwa ni umalaya mkubwa wa kisiasa

Kuunga mkono mikutano ya hadhara na bunge kufungiwa huku mikutano hiyo na Bunge ndivyo vilivyomkuza

Mimi siungi mkono Chadema kwenye siasa zao, ila wakitendewa visivyo na CCM ni lazima niseme
 
Uwe na akili basi,

Angejua ni Hongo asingekubali kuupoteza ubalozi angeufyata.

Rais ni wa Watanzania, anapoteua watu Si Hongo ni kikatiba na SHERIA.
Kumbe hata Samia hawezi kumhonga sababu ni Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…