Ndomana nakushauri tumia akili,Kumbe hata Samia hawezi kumhonga sababu ni Rais
Siwezi kubishana na Msukule wa jiwe , maana kwao akili ni 0.0%Ndomana nakushauri tumia akili,
Maana ulivyoandika, kwako kuhonga ni sawa, ila kuhongwa ndio tatizo!!
Rudi kuandika UPYA Ukiwa timamu!!
KATIBA ya Jamuhuri haikuandika kuwa vipo vyeo spesho vya kuhonga na kuhongwa!!
Huna HOJA ndomana umekimbilia kutukana!!Siwezi kubishana na Msukule wa jiwe , maana kwao akili ni 0.0%
Siasa za bongo? Hata mama yetu awe makini tuu. Ipo siku inakuja hawa hawa anaodhani ni watu wake, watamgeuka tuu. Tena kwake itakuwa mbaya sana. Never put your faith in human beings.
Na leo mnafurahia Dr kuvuliwa ubalozi na hao hao watesi wenu haha. Inachekesha kweli. Nyie mnachezeshwa ngoma wanavyotaka watesi wenu. Mara mbowe gaidi, mara maridhiano. HamjielewiMimi ninafuraha sana kwa yote anayokutana nayo Slaa kwani ubaya unalipwa hapahapa duniani.
Slaa alituangusha vibaya sisi wapinzani kwa kukubali kupokea vipande 30 vya fedha kutoka kwa watesi wetu yaani ccm.
Kama Jiwe alivyoingizwa chaka
Hizo ngonjera zenu sukuma gangSi mlimuua jamani, sasa mnamsimanga wa nini?
Ninyi endeleeni kula kulingana na urefu wa kamba zenu tu. Na uzuri mabaya na vituko vyenu vimefika mpaka kwa mwananchi wa kawaida kabisa.
Manyumbu wa lumumba huwaga hamna akiliNa leo mnafurahia Dr kuvuliwa ubalozi na hao hao watesi wenu haha. Inachekesha kweli. Nyie mnachezeshwa ngoma wanavyotaka watesi wenu. Mara mbowe gaidi, mara maridhiano. Hamjielewi
TechnologyView attachment 2736738
Halafu yeye juzi Mama! Mama!... 🤣
Mnabaki tu kutukana basi. Siasa hamziwezi tena, mlilamba asali, sass mnalamba shubiriManyumbu wa lumumba huwaga hamna akili
Sukuma mtasugua sana mbao na mama Samia tunampa tena 10yrsMnabaki tu kutukana basi. Siasa hamziwezi tena, mlilamba asali, sass mnalamba shubiri
Hizo ngonjera zenu sukuma gang
Sukuma gang walijimilikisha rasilimali za watanzaniaEnyi walafi wa pĺndi hii mtakula mpaka mtavimbiwa. Maana imeandikwa kwamba kila mmoja na ajiburudishe kwa urefu wa kamba yake.
Wakati huwa ni mwalimu mzuri.Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani
Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)
Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni
Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya
Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida
Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza
Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia
Yaani japo Lipumba ni kigeugeu ila angalau ana ubinadamu afadhali hata kuliko Slaa... Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Lissu kupigwa Risasi Lipumba aliongea kulaani japo hakuwa vocal sana, ila Slaa aliunga mkono
Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Hili halihusiani na suala la bandari, Slaa ana haki zote za kukosoa Mkataba wa Bandari ila sio kutuambia kuwa hawezi kuhongwa
CCM tumewasikia, tuachieni haya tutayamaliza wenyewe mnachofanya sasa ni UCHAWI!Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani
Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)
Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni
Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya
Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida
Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza
Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia
Yaani japo Lipumba ni kigeugeu ila angalau ana ubinadamu afadhali hata kuliko Slaa... Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Lissu kupigwa Risasi Lipumba aliongea kulaani japo hakuwa vocal sana, ila Slaa aliunga mkono
Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Hili halihusiani na suala la bandari, Slaa ana haki zote za kukosoa Mkataba wa Bandari ila sio kutuambia kuwa hawezi kuhongwa
Haujajenga hojaPoint ni kuwa Slaa hana hiyo integrity anayodai anayo, kusamehe anasamehewa ila tunajua hana huo msimamo na uadilifu anaojitapa kuwa nao
Mwizi hata ukimsamehe hutakiwi kumuamini tena
Usimshambulie slaa,tuungane kushambulia mafisadi ya CCMHuyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani
Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)
Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni
Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya
Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida
Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza
Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia
Yaani japo Lipumba ni kigeugeu ila angalau ana ubinadamu afadhali hata kuliko Slaa... Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Lissu kupigwa Risasi Lipumba aliongea kulaani japo hakuwa vocal sana, ila Slaa aliunga mkono
Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Hili halihusiani na suala la bandari, Slaa ana haki zote za kukosoa Mkataba wa Bandari ila sio kutuambia kuwa hawezi kuhongwa
Macdm bana ,huyo aliyepokea 4b kwa ajili ya kuuz nafasi ya urais yeye ni mumgu mtu ni malaika sioUu
Slaa na Lipumba walikua na haki ya Kukaa pembeni 2015 baada ya Mbowe kuuza Chama.
Binafsi huwa namwona Mbowe kama Msaliti bora wa wakati wote wa Upinzani ni Mpumbavu kupindukia na Ukikomalia siasa sake utapata kilema huku yeye akijaza Tumbo.
Alichokosea Slaa ni kukubali kukaa Mezo moja na CCM akidhani anapoza machungu na si vinginevyo.
Mbowe popote Ulipo Maumivu ya Watanzania wenye Upinzaji wa Dhati yakuandame.
CCM mtupu yule Nyang'au Chawa Mkubwa.
Ubakaji na Uuaji ni UhalifuHuo ni ubaguzi wa rangi