Aliyehongwa ubalozi na kusema Katiba Mpya sio muhimu leo anasema hayupo tayari kuhongwa?

Kumbe hata Samia hawezi kumhonga sababu ni Rais
Ndomana nakushauri tumia akili,

Maana ulivyoandika, kwako kuhonga ni sawa, ila kuhongwa ndio tatizo!!

Rudi kuandika UPYA Ukiwa timamu!!

KATIBA ya Jamuhuri haikuandika kuwa vipo vyeo spesho vya kuhonga na kuhongwa!!
 
Siwezi kubishana na Msukule wa jiwe , maana kwao akili ni 0.0%
 
Siasa za bongo? Hata mama yetu awe makini tuu. Ipo siku inakuja hawa hawa anaodhani ni watu wake, watamgeuka tuu. Tena kwake itakuwa mbaya sana. Never put your faith in human beings.

Tena wale waliokuwa wakimshauri na kujifanya watu wa karibu sana. Wale sijui jina la siku hizi wanaitwaje vile, ambao mama akifurahi wao wanafurahi zaidi na akichukia, wanachukia zaidi. Pia wao wana kipawa cha kusifia tu.
 
Mimi ninafuraha sana kwa yote anayokutana nayo Slaa kwani ubaya unalipwa hapahapa duniani.

Slaa alituangusha vibaya sisi wapinzani kwa kukubali kupokea vipande 30 vya fedha kutoka kwa watesi wetu yaani ccm.
Na leo mnafurahia Dr kuvuliwa ubalozi na hao hao watesi wenu haha. Inachekesha kweli. Nyie mnachezeshwa ngoma wanavyotaka watesi wenu. Mara mbowe gaidi, mara maridhiano. Hamjielewi
 
Kama Jiwe alivyoingizwa chaka

Si mlimuua jamani, sasa mnamsimanga wa nini?
Ninyi endeleeni kula kulingana na urefu wa kamba zenu tu. Na uzuri mabaya na vituko vyenu vimefika mpaka kwa mwananchi wa kawaida kabisa.
 
Hizo ngonjera zenu sukuma gang
 
Na leo mnafurahia Dr kuvuliwa ubalozi na hao hao watesi wenu haha. Inachekesha kweli. Nyie mnachezeshwa ngoma wanavyotaka watesi wenu. Mara mbowe gaidi, mara maridhiano. Hamjielewi
Manyumbu wa lumumba huwaga hamna akili
 
Enyi walafi wa pĺndi hii mtakula mpaka mtavimbiwa. Maana imeandikwa kwamba kila mmoja na ajiburudishe kwa urefu wa kamba yake.
Sukuma gang walijimilikisha rasilimali za watanzania
 
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani

Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)

Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni

Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya

Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida

Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza

Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia

Yaani japo Lipumba ni kigeugeu ila angalau ana ubinadamu afadhali hata kuliko Slaa... Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Lissu kupigwa Risasi Lipumba aliongea kulaani japo hakuwa vocal sana, ila Slaa aliunga mkono

Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu

Hili halihusiani na suala la bandari, Slaa ana haki zote za kukosoa Mkataba wa Bandari ila sio kutuambia kuwa hawezi kuhongwa
Wakati huwa ni mwalimu mzuri.
 
Useless Cannon forder waliopo kwenye payroll flani wanajulikana tu.
You are a disgrace to your family more or less to your country.
What a waste of .... !
Hamna tofauti na zombie, hasara tupu. Ndugu zako wangekuwa na akili au utu wangeweka matanga tu kwamba umeshapotea kama umekufa.
Living to satisfy your hungry belly.
 
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani

Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)

Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni

Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya

Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida

Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza

Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia

Yaani japo Lipumba ni kigeugeu ila angalau ana ubinadamu afadhali hata kuliko Slaa... Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Lissu kupigwa Risasi Lipumba aliongea kulaani japo hakuwa vocal sana, ila Slaa aliunga mkono

Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu

Hili halihusiani na suala la bandari, Slaa ana haki zote za kukosoa Mkataba wa Bandari ila sio kutuambia kuwa hawezi kuhongwa
CCM tumewasikia, tuachieni haya tutayamaliza wenyewe mnachofanya sasa ni UCHAWI!
 
Point ni kuwa Slaa hana hiyo integrity anayodai anayo, kusamehe anasamehewa ila tunajua hana huo msimamo na uadilifu anaojitapa kuwa nao
Mwizi hata ukimsamehe hutakiwi kumuamini tena
Haujajenga hoja
Try again🤣
 
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani

Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)

Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni

Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya

Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida

Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza

Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia

Yaani japo Lipumba ni kigeugeu ila angalau ana ubinadamu afadhali hata kuliko Slaa... Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Lissu kupigwa Risasi Lipumba aliongea kulaani japo hakuwa vocal sana, ila Slaa aliunga mkono

Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu

Hili halihusiani na suala la bandari, Slaa ana haki zote za kukosoa Mkataba wa Bandari ila sio kutuambia kuwa hawezi kuhongwa
Usimshambulie slaa,tuungane kushambulia mafisadi ya CCM
 
Uu

Slaa na Lipumba walikua na haki ya Kukaa pembeni 2015 baada ya Mbowe kuuza Chama.
Binafsi huwa namwona Mbowe kama Msaliti bora wa wakati wote wa Upinzani ni Mpumbavu kupindukia na Ukikomalia siasa sake utapata kilema huku yeye akijaza Tumbo.
Alichokosea Slaa ni kukubali kukaa Mezo moja na CCM akidhani anapoza machungu na si vinginevyo.
Mbowe popote Ulipo Maumivu ya Watanzania wenye Upinzaji wa Dhati yakuandame.
CCM mtupu yule Nyang'au Chawa Mkubwa.
Macdm bana ,huyo aliyepokea 4b kwa ajili ya kuuz nafasi ya urais yeye ni mumgu mtu ni malaika sio
 
Back
Top Bottom