Aliyehukumiwa kunyongwa

Kama walikuwa wanaishi pamoja bila maelewano huku wakigawana vyumba, kwa nini kuonekana simu ya mke kutumia mtandao mmoja iwe issue? Maana angeweza kutuma tu hata akiwa chumbani kwake
Swali lako ni dhaifu sana mkuu.

Hizo sms huoni kama ni fingerprint kabisa?

Yaani mtu aliyesafiri tayari,

haonekani nyumbani,

alafu ikaonekana simu yako imepokea ujumbe kutoka kwa huyo mtu akiwa kama yupo mbali anakuambia "naomba uwaaangalie watoto "nimesafiri"

Hapo haitoshi kuibua mjadala?
 
Mwanamke usipomdhibiti kipindi cha uchumba hutamuweza tena
Jamaa alimpenda huyo demu mpaka kubadili dini kuwa mkristo ili wafunge ndoa, kama unavyojua watu wa kusini wanapenda sana,baadaye alianza kumletea mkewe mauzauza .

Inasemekana jamaa ndiyo alianza kuzingua kwa kulala nje ,mara ulevi basi mke akachoka akaanza kulipiza balaa nalo likaanzia hpo...Pia , inawezekana alikuwa akimpiga kabla maana demu alikuwa anarudi mpaka majogoo ila kumbuka mke analipiza baada ya kuchoma drama za jamaa.​
 
Harakati zake za kuficha ushahidi ndio zilimkamatisha, angemkimbiza hospitali kama kweli ilikua ni ajali na sio kipigo heavy.

Ni ngumu kuficha ushahidi kwa mtu ambae ndio umeua kama hivyo bila kukusidia, na bado unapambana kuficha ushahidi.
 

Kumbe mafanikio yanaweza kuleta matatizo pia

Pole yao wanafamilia...inawezekana hawakushangaa lakini kifo kimewaumiza kama ilivyo upande wa mwanaume nimeona ndugu zake mtuhumiwa walikuwa wanalia sana baada ya hukumu
 
Ukiona mmepata mali alafu ndoa inavurugika nyuma ya mali kunadhuluma na mauwaji hamuwezi maliza salama hiyo ndio Karma
 
Kama walikuwa wanaishi pamoja bila maelewano huku wakigawana vyumba, kwa nini kuonekana simu ya mke kutumia mtandao mmoja iwe issue? Maana angeweza kutuma tu hata akiwa chumbani kwake
Ni issue. Kumbuka jamaa alishaenda kuripoti polisi kupotea kwa mkewe just few days baada ya "kutoweka" kwake.

Days later ujumbe unaingia kwake kutoka simu ya aliyetoweka kwamba ameenda nje ya nchi but surprisingly simu iliyotuma na iliyopokea ujumbe were just next to each other! Dooooh!
 
Wala halikuwa jeshi lililosanukia mchongo. Ni mwandishi wa habari za kiuchunguzi kutoka gazeti Fulani.

Mwamba alidig deep hadi mchongo ukasanuka.
Lkn njagu walikuwa na mkono wao pia, maana mwandishi pekee asingeweza kufanya mtuhumiwa akutwe na hatia katika namna ilivyofikiwa. Kuna pahala njagu wali dig deep.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…