King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Huyo tayari siyo mpaka usibiri kitabu cha kabendera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana msipende kutafuta sifa za kijinga matokeo yake ndio haya unaacha familia haijui iweke matanga au iendelee kukutafuta.Ikichomwa picha inakua amechomea rais? Alipata adhabu kisheria kwa kosa hilo, huku kupotezwa kulikujaje kama mtu alishaukumiwa kea kosa hilo
Yule aache iwe reference case kulikua kunataka kuibuka tabia ya kumtukana na kuiponda taassis ya urais hadharan tena kwa misukumo ya wana harakati my friend neno serikali yyte duniani usijaribu kuichafua ikiwa ww ni mtu wa kawaida sasa yule mwache apate alichosimamia kwa reference ya wengineWakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo
Nchi hii ina mitawala ya ovyo sana. Vichwa vyao vimejaa konokono badala ya ubongo.Na hao ukifuatilia ni watu wanao jitamba kuwa ni usalama wa taifa, wanahangaika na vitu ambavyo havina hata madhara kwa taifa wanaacha mambo ya msingi yanayo litia hasara taifa
Kwa hiyo wewe unasapoti mauaji mkuu? Ungeuawa wewe ungejisikiaje?Vijana msipende kutafuta sifa za kijinga matokeo yake ndio haya unaacha familia haijui iweke matanga au iendelee kukutafuta.
.........Waliokuwa wanakuchochea maisha yao na familia zao yanaenda kama kawaida.
Msipende kushindana na wenye mamlaka wengine hawana uvumilivu wala roho za kibinadamu.
We mkalembooo waizi ndio nnIngekuwa mafisadi na waizi wa mali za umma wanapotezwa namna hii tungekuwa mbali kama taifa
Ushujaa ukizidi majuto hhufuataww
ni dharau hiyo alitakiwa apate adhabu ya kukaa jela ili akili imkae sawa chadema wakajifanya wajanja kwenda kumtoa wakati akili yake haijawekwa vizuriNchi hii ina laana. Hivi huyu kijana wa watu baada ya kulipa fidia wao kiliwauma nini hadi wakaja kumchukua na kumuua?
kama hakuwa na hatia kwanini walilipa fine mahakamani ? unaongea pumbaRais sio mungu semanCCM ndio imelisha watanganyika upumbavu na ujinga kumuona Rais kama mungu, hizi laana za kuua watu wasio kuwa na hatia lazima itembee nao
unajuwaje kama kapotea kutokana na kosa hilo? kwani alikuwa malaika huyo kiasi kwamba hawezi kutendakosa lingine akapotea? kama aliweza kuchoma picha ya rais anashindwa kuiba na watu wenye hasira wakatembea naye?Ikichomwa picha inakua amechomea rais? Alipata adhabu kisheria kwa kosa hilo, huku kupotezwa kulikujaje kama mtu alishaukumiwa kea kosa hilo
safi kabisa vijana wanapenda sifa za kijinga kipumbavu matokeo yake wanasumbua wazazi yaani huyo mzazi wala asihangaike na toto lenye akili mbovu kama hili aendelee kunywa ulanzi wake taratiiiiibuVijana msipende kutafuta sifa za kijinga matokeo yake ndio haya unaacha familia haijui iweke matanga au iendelee kukutafuta.
.........Waliokuwa wanakuchochea maisha yao na familia zao yanaenda kama kawaida.
Msipende kushindana na wenye mamlaka wengine hawana uvumilivu wala roho za kibinadamu.
Kosa lake ni nini hasa mpaka auawe kikatili? Si alihukumiwa kwa mujibu wa sheria akalipa faini kwanini wamuue?ni dharau hiyo alitakiwa apate adhabu ya kukaa jela ili akili imkae sawa chadema wakajifanya wajanja kwenda kumtoa wakati akili yake haijawekwa vizuri
ni mhalifu kama walivyo wahalifu wengineYani picha achore kwa mkono wake halafu mje mumuuwe serious? Simply mmeuwa zawadi ya Mwenyezi Mungu ambayo ni uhai lakini pia mmeuwa kipaji cha kijana mdogo asie na hatia kama ni kweli hii damu inamlilia alieiumba one day itajibu.
aliyekuwmbia kuwa kauwawa ninani? unajuwa a liko?Kosa lake ni nini hasa mpaka auawe kikatili? Si alihukumiwa kwa mujibu wa sheria akalipa faini kwanini wamuue?
Upo naye kumbe? Hebu tuambie anaendeleaje huko.aliyekuwmbia kuwa kauwawa ninani? unajuwa a liko?
Mkuu hakuna sehemu nimesema nasapoti mauaji ila vijana tujiepushe kuvamia pori la Simba.Kwa hiyo wewe unasapoti mauaji mkuu? Ungeuawa wewe ungejisikiaje?
Ieleweke mkuu mimi sijatetea kupotezwa kwakwe ila tu nimekumbusha vijana wenzangu juu ya kutafuta umaarufu kwenye mambo yasiyo na tija yoyote Kama alivyofanya kijana huyu.Hivi kumpoteza kijana masikini kama huyu kunawasaidia nini nyinyi mahayawani msio na haya?
Hili swali linafikirisha sana. Ina maana kwenye hii nchi hakuna utawala wa sheria.Kosa lake ni nini hasa mpaka auawe kikatili? Si alihukumiwa kwa mujibu wa sheria akalipa faini kwanini wamuue?