Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo

Ikichomwa picha inakua amechomea rais? Alipata adhabu kisheria kwa kosa hilo, huku kupotezwa kulikujaje kama mtu alishaukumiwa kea kosa hilo
Vijana msipende kutafuta sifa za kijinga matokeo yake ndio haya unaacha familia haijui iweke matanga au iendelee kukutafuta.

.........Waliokuwa wanakuchochea maisha yao na familia zao yanaenda kama kawaida.

Msipende kushindana na wenye mamlaka wengine hawana uvumilivu wala roho za kibinadamu.
 
Wakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo
Yule aache iwe reference case kulikua kunataka kuibuka tabia ya kumtukana na kuiponda taassis ya urais hadharan tena kwa misukumo ya wana harakati my friend neno serikali yyte duniani usijaribu kuichafua ikiwa ww ni mtu wa kawaida sasa yule mwache apate alichosimamia kwa reference ya wengine
 
Vijana msipende kutafuta sifa za kijinga matokeo yake ndio haya unaacha familia haijui iweke matanga au iendelee kukutafuta.

.........Waliokuwa wanakuchochea maisha yao na familia zao yanaenda kama kawaida.

Msipende kushindana na wenye mamlaka wengine hawana uvumilivu wala roho za kibinadamu.
Kwa hiyo wewe unasapoti mauaji mkuu? Ungeuawa wewe ungejisikiaje?
 
Nchi hii ina laana. Hivi huyu kijana wa watu baada ya kulipa fidia wao kiliwauma nini hadi wakaja kumchukua na kumuua?
ni dharau hiyo alitakiwa apate adhabu ya kukaa jela ili akili imkae sawa chadema wakajifanya wajanja kwenda kumtoa wakati akili yake haijawekwa vizuri
 
Rais sio mungu semanCCM ndio imelisha watanganyika upumbavu na ujinga kumuona Rais kama mungu, hizi laana za kuua watu wasio kuwa na hatia lazima itembee nao
kama hakuwa na hatia kwanini walilipa fine mahakamani ? unaongea pumba
 
Ikichomwa picha inakua amechomea rais? Alipata adhabu kisheria kwa kosa hilo, huku kupotezwa kulikujaje kama mtu alishaukumiwa kea kosa hilo
unajuwaje kama kapotea kutokana na kosa hilo? kwani alikuwa malaika huyo kiasi kwamba hawezi kutendakosa lingine akapotea? kama aliweza kuchoma picha ya rais anashindwa kuiba na watu wenye hasira wakatembea naye?
 
Vijana msipende kutafuta sifa za kijinga matokeo yake ndio haya unaacha familia haijui iweke matanga au iendelee kukutafuta.

.........Waliokuwa wanakuchochea maisha yao na familia zao yanaenda kama kawaida.

Msipende kushindana na wenye mamlaka wengine hawana uvumilivu wala roho za kibinadamu.
safi kabisa vijana wanapenda sifa za kijinga kipumbavu matokeo yake wanasumbua wazazi yaani huyo mzazi wala asihangaike na toto lenye akili mbovu kama hili aendelee kunywa ulanzi wake taratiiiiibu
 
Yani picha achore kwa mkono wake halafu mje mumuuwe serious? Simply mmeuwa zawadi ya Mwenyezi Mungu ambayo ni uhai lakini pia mmeuwa kipaji cha kijana mdogo asie na hatia kama ni kweli hii damu inamlilia alieiumba one day itajibu.
 
ni dharau hiyo alitakiwa apate adhabu ya kukaa jela ili akili imkae sawa chadema wakajifanya wajanja kwenda kumtoa wakati akili yake haijawekwa vizuri
Kosa lake ni nini hasa mpaka auawe kikatili? Si alihukumiwa kwa mujibu wa sheria akalipa faini kwanini wamuue?
 
Yani picha achore kwa mkono wake halafu mje mumuuwe serious? Simply mmeuwa zawadi ya Mwenyezi Mungu ambayo ni uhai lakini pia mmeuwa kipaji cha kijana mdogo asie na hatia kama ni kweli hii damu inamlilia alieiumba one day itajibu.
ni mhalifu kama walivyo wahalifu wengine
 
Kwa hiyo wewe unasapoti mauaji mkuu? Ungeuawa wewe ungejisikiaje?
Mkuu hakuna sehemu nimesema nasapoti mauaji ila vijana tujiepushe kuvamia pori la Simba.

Kulikuwa hakuna faida wala ulazima wa kuchoma picha ya kiongozi.

Tujiepushe na vitu vya kujazana upepo humu mitandaoni/vijiweni tukumbuke tuna familia nyumbani zinatuhitaji.
 
Hivi kumpoteza kijana masikini kama huyu kunawasaidia nini nyinyi mahayawani msio na haya?
Ieleweke mkuu mimi sijatetea kupotezwa kwakwe ila tu nimekumbusha vijana wenzangu juu ya kutafuta umaarufu kwenye mambo yasiyo na tija yoyote Kama alivyofanya kijana huyu.
 
Kosa lake ni nini hasa mpaka auawe kikatili? Si alihukumiwa kwa mujibu wa sheria akalipa faini kwanini wamuue?
Hili swali linafikirisha sana. Ina maana kwenye hii nchi hakuna utawala wa sheria.
 
Kwani wasiojulikana bado wapo? Aisee,

Kwahyo kumbe zile zama za Giza Bado zipo ?

Shame on you
 
Back
Top Bottom