Lakini si alihukumiwa hukumu halisi kwa hilo kosa na kulipa faini? Ni kosa gani tena lilipelekea waje kumchukua na kumuua na kwa kutumia kifungu kipi cha sheria?Mkuu hakuna sehemu nimesema nasapoti mauaji ila vijana tujiepushe kuvamia pori la Simba.
Kulikuwa hakuna faida wala ulazima wa kuchoma picha ya kiongozi.
Tujiepushe na vitu vya kujazana upepo humu mitandaoni/vijiweni tukumbuke tuna familia nyumbani zinatuhitaji.
Kwa hiyo kumuua ndiyo ilikuwa adhabu sahihi? Kwanini sasa hakuhukumiwa adhabu ya kifo?ni dharau hiyo alitakiwa apate adhabu ya kukaa jela ili akili imkae sawa chadema wakajifanya wajanja kwenda kumtoa wakati akili yake haijawekwa vizuri
Mkuu hii ni Afrika.Lakini si alihukumiwa hukumu halisi kwa hilo kosa na kulipa faini? Ni kosa gani tena lilipelekea waje kumchukua na kumuua na kwa kutumia kifungu kipi cha sheria?
Wameamua kumkomoa...alipotoka baada ya kulipiwa fine, wanaharakati waliyomsaidia walikuwa wanavimba sana mbele ya makamera hadi kupiga selfie naye..naona imewaaudhi watu fulani,wakaona Acha wamfanyie umafia!Lakini si alihukumiwa hukumu halisi kwa hilo kosa na kulipa faini? Ni kosa gani tena lilipelekea waje kumchukua na kumuua na kwa kutumia kifungu kipi cha sheria?
Malupo ni hapa hapa duniani. Hata waliotaka kumuua Tundu Lissu walikufa wao lakini Tundu anaishi hadi leo.Wameamua kumkomoa...alipotoka baada ya kulipiwa fine, wanaharakati waliyomsaidia walikuwa wanavimba sana mbele ya makamera hadi kupiga selfie naye..naona imewaaudhi watu fulani,wakaona Acha wamfanyie umafia!
Ova
Kwani amekuomba msaada?!Kwanini uchome picha ya president in the first place.?
Your living in third world country alafu unachoma picha za viongozi huku unahitaji hao watu wakusaidie.
Sasa hapa tunaongea nini, si kwamba hajulikani alipo?Embu gerare here maana hata hujui tunaongea nini mbwiga kabisa.Kwani amekuomba msaada?!
We ni shoga wa dar?!Sasa hapa tunaongea nini, si kwamba hajulikani alipo?Embu gerare here maana hata hujui tunaongea nini mbwiga kabisa.
Matakoni kwa mama yako hapoWe ni shoga wa dar?!