Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo

Mkuu hakuna sehemu nimesema nasapoti mauaji ila vijana tujiepushe kuvamia pori la Simba.

Kulikuwa hakuna faida wala ulazima wa kuchoma picha ya kiongozi.

Tujiepushe na vitu vya kujazana upepo humu mitandaoni/vijiweni tukumbuke tuna familia nyumbani zinatuhitaji.
Lakini si alihukumiwa hukumu halisi kwa hilo kosa na kulipa faini? Ni kosa gani tena lilipelekea waje kumchukua na kumuua na kwa kutumia kifungu kipi cha sheria?
 
Wameamua kumkomoa...alipotoka baada ya kulipiwa fine, wanaharakati waliyomsaidia walikuwa wanavimba sana mbele ya makamera hadi kupiga selfie naye..naona imewaaudhi watu fulani,wakaona Acha wamfanyie umafia!

Ova
 
Malupo ni hapa hapa duniani. Hata waliotaka kumuua Tundu Lissu walikufa wao lakini Tundu anaishi hadi leo.
 
Kwanini uchome picha ya president in the first place.?
Your living in third world country alafu unachoma picha za viongozi huku unahitaji hao watu wakusaidie.
 
Back
Top Bottom