Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo

Kumbe ni mchawi. kwanini aliwachiwa kwa faini? Huyo ilikuwa alambwe viboko, faini na kifungo.

Kuchoma picha ya rais kwa makusudi kabisa halafu unaitangazia dunia, ni heri hata uichome bendera.
 
Dunia ya kale mfalme wa Tudor Monarchy alikuwa mungu mtu asiepingwa hadharani kwa maneno au vitendo , alichofanya huyu kijana enzi zile iliitwa treason na walikata vichwa.

Wakati mwingine ujasiri na ushujaa ukizidi ni kujitafutia matatizo ya bure, ye kijana angechoma picha tu ujumbe wake ufike bila kuonesha sura yake.

Ila yawezekana kijana hana akili timamu au ana asili ya nchi ingine maana sisi wabongo wengi ni kunguru, tukiwaza virungu na mabuti tunakimbiza mbawa zetu.

However, kupotezwa kijana si jambo lenye afya kwa taifa maskini kwakuwa mahakama ilimwacha huru baada ya kulipa faini hakukua na haja kumpoteza. Kwahiyo tujiulize labda bongo utawala wa sheria haupo tena ni ubabe tu?
 
Hangaya awaambie watu wake wamwachie tu
 
Mkuu kama n ya kshenz ebu nenda china iran au korea alaf ufanye usenge kama ile baada ya kufanya yanayo kuhusu utakuja kutushukuru ss ambayo atujabahat kuwa na akili mgando

acha fikra duni ndugu
 
Kazi cha Chama Cha majangili
 
Eeh! Ila Samia bwana, sijui anataka nini??

Halafu utasikia polisi wanakanusha kuwa hakuna utekaji hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…