Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo

Akili hizo watoe wapi chief, hao ni wahuni tu wanatuharibia taifa na viongozi wetu.
Kwakweli sisi wenye akili inabidi tuchukue inchi yetu, Hawa vilaza wataifilisi inchi, badala ya kudili na mafisadi mhangaika na vitu vya kipumbafu kabisa. Hii mijitu imekosa kabisa akili.
 
Wakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo
Huu ni ujumbe wa kutisha watu?

Kuna binaadam wasiovumilia maovu. Kwao "kujiepusha" ni kusaliti dhamira zao.
 
Mkuu kama n ya kshenz ebu nenda china iran au korea alaf ufanye usenge kama ile baada ya kufanya yanayo kuhusu utakuja kutushukuru ss ambayo atujabahat kuwa na akili mgando
Mimi naona yako ndiyo "akili mgando", sasa sijui ulikuwa na maana ya kujishusha namna hiyo? Kwa akili hiyo ya mgando unataka Tanzania iwe hizo nchi ulizo orodhesha hapo, kwa kigezo kipi?
 
Kila kitu mkuu vinamipaka ww saiv mtot wako aje kukushka sehem za sr mbele ya umat kwl heshma ipo wap hapo sasa picha ya rais syo kutafutia kck saw umeoneka labda kwa baaz ya watu lakn umepotezewa muda yamkn umepgwa atujui aya faida ipo wap hapo zaid ya ujinga
 
Ni wewe unayeweka hiyo mipaka?
Sasa huyo rais wako ni mungu, au vipi? Hata kama ingekuwa hivyo, si tayari shauri lilisha amriwa mahakamani na mkosaji kapewa adhabu, au hujui hilo?
Kachoma picha nyingine, au ni ile ile ya mungu wako ya mwanzo?
 
Hii nchi sasa imekua kama huko porini. Wanyama wakubwa kuwala wadogo
 
Mimi naona yako ndiyo "akili mgando", sasa sijui ulikuwa na maana ya kujishusha namna hiyo? Kwa akili hiyo ya mgando unataka Tanzania iwe hizo nchi ulizo orodhesha hapo, kwa kigezo kipi?
Labda anahisi ni mali ya wanasiasa.
 
Historia haimlazimishi mtu kujifunza..unaweza ukajifunza chochote au ukaacha vyote, hatari ni pale inapojirudia.
 
I thought its Magufulis acts…….
 
Back
Top Bottom