Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si alichukuliwa na chadema walioenda kumlipia faini? Walimpeleka wapi?
Taarifa kutoka Mbeya ni kuwa kijana Chaula aliyefungwa miaka miwili jela kwa kosa la kuchoma picha ya Rais Samia, na baadaye kuachiwa baada ya kuhangiwa na wananchi amechukuliwa na watu wasiyojulikana toka jana Agosti 1, 2024.
Pia soma: Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani
Mpaka muda huu hakuna mtu ambae anajua amepelekwa wapi na simu zake zote hazipatikani!
Pia soma: Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
Nakazia japo mimi sio muumini wa uogaWakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo
Wakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo
watu weusi tuna akili basi. ni ujinga tunaweza kwa ufanisi.Hao nao kama ni tanpol basi watakuwa hawana kazi ya kufanya. Wanahangaika na mambo yasiyo na tija kwa taifa. Picha si aliichora mwenyewe?
ni wajinga wanajituma kufanya huo ujinga wakidhani watapongezwa na kupandishwa vyeo na mabwana zao watawala.Halafu mambo kama haya wenye kimbelembele ni vinabo tu ambao hata hawajatumwa na mwenye picha kumtesa kijana wa watu.
Kuna vinuka mbupu havina kazi za kufanya vinajipa majukumu yasiokuwa yao ili tu waonekane wapo kazini na wao.
Chura Kiziwi anaweza kuwa na mapungufu mengi lakini nina hakika hawezi amrisha mateso kwa mtu kwa ajili ya maswala ya kipumbavu kama picha.
Kuna wengine hawakuwepo kwenye kikao😂😂😂Kwani si tulikubaliana mtu ambae atakuwa hatarishi kwa usalama wa taifa ndio "tumfinye"???
Aamua ni muuaji kama Magufuli
Taarifa kutoka Mbeya ni kuwa kijana Chaula aliyefungwa miaka miwili jela kwa kosa la kuchoma picha ya Rais Samia, na baadaye kuachiwa baada ya kuhangiwa na wananchi amechukuliwa na watu wasiyojulikana toka jana Agosti 1, 2024.
Pia soma: Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani
Mpaka muda huu hakuna mtu ambae anajua amepelekwa wapi na simu zake zote hazipatikani!
Pia soma: Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
ShauriloWasiojulikana wangejikita hata na vitu vya msingi mara moja moja