Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wabongo wanapenda sana maisha ya Watekaji kuliko wao...mtu unamkuta nae ana siraha harafu anatekwa kisa Vima wamemuonyesha vitambulisho vyao vya kijambazi..Iwe hivyo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wanapenda sana maisha ya Watekaji kuliko wao...mtu unamkuta nae ana siraha harafu anatekwa kisa Vima wamemuonyesha vitambulisho vyao vya kijambazi..Iwe hivyo
Ova
Kwakweli sisi wenye akili inabidi tuchukue inchi yetu, Hawa vilaza wataifilisi inchi, badala ya kudili na mafisadi mhangaika na vitu vya kipumbafu kabisa. Hii mijitu imekosa kabisa akili.Akili hizo watoe wapi chief, hao ni wahuni tu wanatuharibia taifa na viongozi wetu.
Hapo ingelikuwa china au korea tusnge zungumza kihiv yaan jamaa angesha jongwa ila n Tz kwa sababu alikuwa anataka kick tumuombe awesalama tuHakuna hao ni maharamia tu na kama kweli wanalipwa pesa za wananchi ili waue wananchi basi mwisho wao mbaya sana.
Mkuu kama n ya kshenz ebu nenda china iran au korea alaf ufanye usenge kama ile baada ya kufanya yanayo kuhusu utakuja kutushukuru ss ambayo atujabahat kuwa na akili mgandoHii nchi ni ya kishenzi sana
Huu ni ujumbe wa kutisha watu?Wakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo
Mimi naona yako ndiyo "akili mgando", sasa sijui ulikuwa na maana ya kujishusha namna hiyo? Kwa akili hiyo ya mgando unataka Tanzania iwe hizo nchi ulizo orodhesha hapo, kwa kigezo kipi?Mkuu kama n ya kshenz ebu nenda china iran au korea alaf ufanye usenge kama ile baada ya kufanya yanayo kuhusu utakuja kutushukuru ss ambayo atujabahat kuwa na akili mgando
Kila kitu mkuu vinamipaka ww saiv mtot wako aje kukushka sehem za sr mbele ya umat kwl heshma ipo wap hapo sasa picha ya rais syo kutafutia kck saw umeoneka labda kwa baaz ya watu lakn umepotezewa muda yamkn umepgwa atujui aya faida ipo wap hapo zaid ya ujingaMimi naona yako ndiyo "akili mgando", sasa sijui ulikuwa na maana ya kujishusha namna hiyo? Kwa akili hiyo ya mgando unataka Tanzania iwe hizo nchi ulizo orodhesha hapo, kwa kigezo kipi?
Anyongwe kisa nini nawe ni fala Nini..Hapo ingelikuwa china au korea tusnge zungumza kihiv yaan jamaa angesha jongwa ila n Tz kwa sababu alikuwa anataka kick tumuombe awesalama tu
Ni wewe unayeweka hiyo mipaka?Kila kitu mkuu vinamipaka ww saiv mtot wako aje kukushka sehem za sr mbele ya umat kwl heshma ipo wap hapo sasa picha ya rais syo kutafutia kck saw umeoneka labda kwa baaz ya watu lakn umepotezewa muda yamkn umepgwa atujui aya faida ipo wap hapo zaid ya ujinga
Labda anahisi ni mali ya wanasiasa.Mimi naona yako ndiyo "akili mgando", sasa sijui ulikuwa na maana ya kujishusha namna hiyo? Kwa akili hiyo ya mgando unataka Tanzania iwe hizo nchi ulizo orodhesha hapo, kwa kigezo kipi?
Mchumia janga hula na wa kwao!yaani hata baada ya baba yake kuomba msamaha namna ile, hawakuridhika?
Chadema ndo walimlipia? Mbowe na Mnyika na Lissu uliwaona?Huyu si alichukuliwa na chadema walioenda kumlipia faini? Walimpeleka wapi?
Hapa idara ya usalama inahusikaWakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo
Wakati anachoma si alikua anaona sifa ngoja akazichome vizuri sasa huko alipo.
We kweli?Acha wakamnyooshe ili aelewe nini maana ya dola iwe funzo kwa wengine