Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ndio kusema haya yanafanywa na Wambura kumchafua Samia au ni maagizo yake mwenyewe Samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni mchawi. kwanini aliwachiwa kwa faini? Huyo ilikuwa alambwe viboko, faini na kifungo.
Taarifa kutoka Mbeya ni kuwa kijana Chaula aliyefungwa miaka miwili jela kwa kosa la kuchoma picha ya Rais Samia, na baadaye kuachiwa baada ya kuhangiwa na wananchi amechukuliwa na watu wasiyojulikana toka jana Agosti 1, 2024.
Pia soma: Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani
Mpaka muda huu hakuna mtu ambae anajua amepelekwa wapi na simu zake zote hazipatikani!
Pia soma: Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
UPDATE:
Baada ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni ikidaiwa kuwa kijana Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji amepotea katika mazingira ya kutatanisha huku baadhi wakidai amechukuliwa na Watu ambao utambulisho wao haujajulikana, baba mzazi wa Shadrack, mzee Yusuph Chaula amesema ni kweli mwanaye hajulikani alipom Mkoani Mbeya.
Akizungumza na JamiiForums, mzee Yusuph amesema “Hatujui alipo mpaka sasa (Saa mbili Usiku Agosti 2, 2024), majira ya asubuhi nilijulishwa kuna watu ambao bado hatuwajui wamemchukua na kuondoka naye, namba zake hazipatikani tangu wakati huo.”
Ameongeza “Tumeshafika Polisi kutoa taarifa, tunasubiri mrejesho kutoka kwa Polisi, kesho tutafutilia zaidi. Sikuona kama ana tatizo na mtu yeyote tangu yale matatizo ya wakati ule yalipomalizika.”
Alipoulizwa kama naweza kuhusisha kilichotokea na kile kilichomtokea wiki chache zilizopita amesema “Sijui kama kuna uhusiano kwa kuwa, baada ya ile kesi aliendelea kuishi maisha yake ya kawaida.”
Julai 8, 2024, Shadrack Chaula aliachiwa huru kutoka gerezani baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu alipohukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, Julai 2, 2024 alionekana kupitia kipande cha video akichoma moto picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, alishindwa kulipa faini na kwenda jela, Wadau mbalimbali walianza kumchangia fedha kupitia Mtandao kwa nia ya kumlipia faini
Msamaha wa kuombwa na babake unahusiana nini na kujipoteza kwake?yaani hata baada ya baba yake kuomba msamaha namna ile, hawakuridhika?
Una umri gani?Famchezo nn
Umeelewa nilichoandika?Una umri gani?
Ona ulivyo mjinga, Mazezeta wa CCM hawaWakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo
Soma vizuriMmmmh mbona jamaa muda wote alikua anacheka jamani hiyo ya kuomba msamaha imekuaje
Ahahahahah haya banaDada una kichwa kigumu mno, vi mistari viwili tu umeshindwa kuvielewa.
Poa poaSoma vizuri
Mkuu kama n ya kshenz ebu nenda china iran au korea alaf ufanye usenge kama ile baada ya kufanya yanayo kuhusu utakuja kutushukuru ss ambayo atujabahat kuwa na akili mgando
Kazi cha Chama Cha majangili
Taarifa kutoka Mbeya ni kuwa kijana Chaula aliyefungwa miaka miwili jela kwa kosa la kuchoma picha ya Rais Samia, na baadaye kuachiwa baada ya kuhangiwa na wananchi amechukuliwa na watu wasiyojulikana toka jana Agosti 1, 2024.
Pia soma: Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani
Mpaka muda huu hakuna mtu ambae anajua amepelekwa wapi na simu zake zote hazipatikani!
Pia soma: Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela
UPDATE:
Baada ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni ikidaiwa kuwa kijana Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji amepotea katika mazingira ya kutatanisha huku baadhi wakidai amechukuliwa na Watu ambao utambulisho wao haujajulikana, baba mzazi wa Shadrack, mzee Yusuph Chaula amesema ni kweli mwanaye hajulikani alipom Mkoani Mbeya.
Akizungumza na JamiiForums, mzee Yusuph amesema “Hatujui alipo mpaka sasa (Saa mbili Usiku Agosti 2, 2024), majira ya asubuhi nilijulishwa kuna watu ambao bado hatuwajui wamemchukua na kuondoka naye, namba zake hazipatikani tangu wakati huo.”
Ameongeza “Tumeshafika Polisi kutoa taarifa, tunasubiri mrejesho kutoka kwa Polisi, kesho tutafutilia zaidi. Sikuona kama ana tatizo na mtu yeyote tangu yale matatizo ya wakati ule yalipomalizika.”
Alipoulizwa kama naweza kuhusisha kilichotokea na kile kilichomtokea wiki chache zilizopita amesema “Sijui kama kuna uhusiano kwa kuwa, baada ya ile kesi aliendelea kuishi maisha yake ya kawaida.”
Julai 8, 2024, Shadrack Chaula aliachiwa huru kutoka gerezani baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu alipohukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, Julai 2, 2024 alionekana kupitia kipande cha video akichoma moto picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, alishindwa kulipa faini na kwenda jela, Wadau mbalimbali walianza kumchangia fedha kupitia Mtandao kwa nia ya kumlipia faini
Wakati mwingine ukiwez kujiepusha na matatizo yanayoepukika ni vizuri kujiepusha nayo