Mambo ya open space wanayaweza wazungu, vyakula vyao ni roast chicken na salad atachemsha viazi au wali kidogo.Jiko liungane na living area. Liwe hall Moja kubwa.
Kupika, kuserve drinks kuosha vyombo huku mnaongea ni romantic siyo unajificha uani.
Haha ...Mambo ya open space wanayaweza wazungu, vyakula vyao ni roast chicken na salad atachemsha viazi au wali kidogo.
Sasa mimi nimesoma Ferry na vibua ninataka nivikaange Nile na ugali au utumbo na ndizi malindi.
King Kong III ushauri wako tafadhali
Shukran nyingi sanaRamani imetulia ila changes zinatakiwa naona kitchen ipo mbali sana na dining ,hapo wainterchange master na living room ,Front varanda iende dirisha la master bedroom....ni nzuri kwa familia ndogo inayoanza maisha,20-30 age.
Ni ramani simu iliingia wakati nina type
Mkuu choo siyo lazima kinukeChoo kipo karibu kabisa na dinning
Hao ndio mainjinia wetu wa bongo
Tofauti ya gharama ni ndogo sana, kwangu hii ni kwa eneo lililobaki baada ya nyumba kubwa. Dhumuni kubwa ni kuwa na guest wing.Wadau swali la kizushi eti nyumba y vyumba viwili kulala na nyumba y vyumba vitatu galama ziko sw?
Kwa kifupi mchoraji hajielewi, huwezi kuweka jiko mbali na dining hivyo...ambapo inaonyesha kuwa sehemu ya kulia chakula iko mbaliHii sehemu ya master bedroom ingehamia dining and living room
Unaweza.Kwa kifupi mchoraji hajielewi, huwezi kuweka jiko mbali na dining hivyo...ambapo inaonyesha kuwa sehemu ya kulia chakula iko mbali
Chagua Kati ya hizi hapa chini bure kabisa ππShukran nyingi sana
Hakuna ramani hapo bibie