Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Mambo ya open space wanayaweza wazungu, vyakula vyao ni roast chicken na salad atachemsha viazi au wali kidogo.Jiko liungane na living area. Liwe hall Moja kubwa.
Kupika, kuserve drinks kuosha vyombo huku mnaongea ni romantic siyo unajificha uani.
Sasa mimi nimesoma Ferry na vibua ninataka nivikaange Nile na ugali au utumbo na ndizi malindi.