Aliyeielewa hii Ramani anisaidie

Aliyeielewa hii Ramani anisaidie

Jiko liungane na living area. Liwe hall Moja kubwa.
Kupika, kuserve drinks kuosha vyombo huku mnaongea ni romantic siyo unajificha uani.
Mambo ya open space wanayaweza wazungu, vyakula vyao ni roast chicken na salad atachemsha viazi au wali kidogo.

Sasa mimi nimesoma Ferry na vibua ninataka nivikaange Nile na ugali au utumbo na ndizi malindi.
 
Mambo ya open space wanayaweza wazungu, vyakula vyao ni roast chicken na salad atachemsha viazi au wali kidogo.

Sasa mimi nimesoma Ferry na vibua ninataka nivikaange Nile na ugali au utumbo na ndizi malindi.
Haha ...
Not really, vyakula vya kibongo open space vipo poa.
Chai masala na chapati/maandazi wakati wazungu breakfast mayai, nguruwe ...
 
Mtoto wako anajua kuchora.weee usi nambie [emoji28][emoji28][emoji28]namuitaji mchora ramani please
 
Hiyo ni mahsusi wa wale wenye choyo ya chakula,wanajipikilisha wanashtuana kimya kimya wanapiga tonge,nyie wageni mmewashiwa luninga mnaangalia tamthilia na chupa ya maji ya uhai .
 
Ramani imetulia ila changes zinatakiwa naona kitchen ipo mbali sana na dining ,hapo wainterchange master na living room ,Front varanda iende dirisha la master bedroom....ni nzuri kwa familia ndogo inayoanza maisha,20-30 age.
Shukran nyingi sana
 
Wadau swali la kizushi eti nyumba y vyumba viwili kulala na nyumba y vyumba vitatu galama ziko sw?
 
Shukran nyingi sana
Chagua Kati ya hizi hapa chini bure kabisa 👇👇

UTENGULE Apartment3.png


KALINGA KASISIWE FINAL NO.2.png


TWO BEDROOM_HOUSE3.png
 

Attachments

Back
Top Bottom