Ni kumjenga kiakili kuwa hali aliyonayo haifai,najua kabisa haipend ila hawez kutoka hapo alipo anapaswa kushikwa mkono atoke.Kabla hajasaidiwa inahitajika utayar wake wakusaidiwa
Je, yupo tayari kusaidiwa?
spend less, save more
Oooh really!gongo haijawai muacha mtumiaji salama
Post sent using JamiiForums mobile app
Huenda hata hakua anajua,huenda muhusika hayupo tayar,huenda huenda huenda.Diamond kashindwa kumsaidia mwenzake kweli
Post sent using JamiiForums mobile app
Tatizo lao hawa wasanii wanapenda kuishi maisha yakisanii, sasa ikibuma ndo wanakimbilia huko kwenye mataputapuNi kumjenga kiakili kuwa hali aliyonayo haifai,najua kabisa haipend ila hawez kutoka hapo alipo anapaswa kushikwa mkono atoke.
Gongo ni simple kutoka kuliko unga
May Allah bless Me and You
Huyo dada ameimba nyimbo ngapi?Tatizo lao hawa wasanii wanapenda kuishi maisha yakisanii, sasa ikibuma ndo wanakimbilia huko kwenye mataputapu
spend less, save more
Sijui, ila nilimuona kwa nyimbo ya domoHuyo dada ameimba nyimbo ngapi?
May Allah bless Me and You
Kwani jamaa alilejea/alirudi kutoka twn? Isije ikawa ni mawazo ya kutelekezwa na mtu aliye mwamini maana alilalamika kweli kweli.Alikuwa akihojiwa na kipindi cha shilawadu na kukiri sasa amekuwa teja wa gongo akiwa hapo studio na mama yake
Mama yake amesema anampa tabu kwa kuwa ameshindwa kulea mtoto wake na afya yake imedhoofu
Anaomba asaidiwe
Kumbe na wewe unaangaliaga shirika la wambea?
Kweli maisha safari, ukikata tamaa na hakuna wa kukushika mkono mwisho wake ni kuangamia. Pole Hawa
iPhone S7
Dah hii iphone S7 ni toleo jipya mkuu?
Ukweli ni unga ila anajificha nyuma ya gongo ili kukwepa ukweli mateja wengi hujaribu kuficha utumiaji wao na watu wakaribu huamini kile wanachoambiwa kwa kuuogopa ukweli wa kuwa ndugu yetu anatumia ungaHatari. Ana sound kama teja la unga.
Na kamtaja mwenzie rafiki yake maunda zoro naye anasema amechoka mbayaaa inasemekana anakula Sana cannabis sativa almaarufu bangi
Post sent using JamiiForums mobile app
Na kamtaja mwenzie rafiki yake maunda zoro naye anasema amechoka mbayaaa inasemekana anakula Sana cannabis sativa almaarufu bangi
Post sent using JamiiForums mobile app
Maisha uchange kama dira,Kweli maisha safari, ukikata tamaa na hakuna wa kukushika mkono mwisho wake ni kuangamia. Pole Hawa
iPhone S7
HahahaHiyo Signature kiboko.. [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Post sent using JamiiForums mobile app