Aliyeimba nitarejea na Diamond sasa amekuwa teja wa gongo

Aliyeimba nitarejea na Diamond sasa amekuwa teja wa gongo

Kabla hajasaidiwa inahitajika utayar wake wakusaidiwa
Je, yupo tayari kusaidiwa?

spend less, save more
Ni kumjenga kiakili kuwa hali aliyonayo haifai,najua kabisa haipend ila hawez kutoka hapo alipo anapaswa kushikwa mkono atoke.
Gongo ni simple kutoka kuliko unga

May Allah bless Me and You
 
Diamond kashindwa kumsaidia mwenzake kweli

Post sent using JamiiForums mobile app
Huenda hata hakua anajua,huenda muhusika hayupo tayar,huenda huenda huenda.
Ila mkumbuke walifanya kazi wakaachana,so matatizo yake sio lazima jamaa ahusike

May Allah bless Me and You
 
Ni kumjenga kiakili kuwa hali aliyonayo haifai,najua kabisa haipend ila hawez kutoka hapo alipo anapaswa kushikwa mkono atoke.
Gongo ni simple kutoka kuliko unga

May Allah bless Me and You
Tatizo lao hawa wasanii wanapenda kuishi maisha yakisanii, sasa ikibuma ndo wanakimbilia huko kwenye mataputapu

spend less, save more
 
Tatizo lao hawa wasanii wanapenda kuishi maisha yakisanii, sasa ikibuma ndo wanakimbilia huko kwenye mataputapu

spend less, save more
Huyo dada ameimba nyimbo ngapi?

May Allah bless Me and You
 
Alikuwa akihojiwa na kipindi cha shilawadu na kukiri sasa amekuwa teja wa gongo akiwa hapo studio na mama yake
Mama yake amesema anampa tabu kwa kuwa ameshindwa kulea mtoto wake na afya yake imedhoofu
Anaomba asaidiwe


Kwani jamaa alilejea/alirudi kutoka twn? Isije ikawa ni mawazo ya kutelekezwa na mtu aliye mwamini maana alilalamika kweli kweli.

"the highest risk should give maximum profit"
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Diamond amsaidie maana song ilihiti na akapiga mpunga zikiwemo jitihada za huyu dada.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Siyo lazima baada ya kusaidia na ww kusaidiwa. Chapa rapa tu
 
Domo rudi ulee mkeo shida ni matala everywhere is monds ex............[emoji6]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Baada ya gongo atabwia unga
Ina maana yeye ndo wa kwanza kuachwa anapenda tu ulevi huyo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hatari. Ana sound kama teja la unga.
Ukweli ni unga ila anajificha nyuma ya gongo ili kukwepa ukweli mateja wengi hujaribu kuficha utumiaji wao na watu wakaribu huamini kile wanachoambiwa kwa kuuogopa ukweli wa kuwa ndugu yetu anatumia unga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa bahati mbaya huyu binti anaonekana ni mbinafsi sana anajali hisia zake tu wengine wanaoumia kwa ajili yake hajali kabisa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na kamtaja mwenzie rafiki yake maunda zoro naye anasema amechoka mbayaaa inasemekana anakula Sana cannabis sativa almaarufu bangi

Post sent using JamiiForums mobile app

Na kamtaja mwenzie rafiki yake maunda zoro naye anasema amechoka mbayaaa inasemekana anakula Sana cannabis sativa almaarufu bangi

Post sent using JamiiForums mobile app


Uwe Na rafiki Maunda huwezi baki salama. Familia Na binti wanaficha unga Huo.
 
Kweli maisha safari, ukikata tamaa na hakuna wa kukushika mkono mwisho wake ni kuangamia. Pole Hawa

iPhone S7
Maisha uchange kama dira,
wangapi walikuwa poa na leo hawana dira
......
Kama hujifunzi utafunzwa
lakini kama hujitunzi chini ya jua hakuna atakayekutunza

Edu boy ft belle9
 
Back
Top Bottom