Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si aliyemwambia atarejea hajarejea tenaKama ni kweli, inakuaje binti mzuri kama yule aishie teja wa gongo??
Kumbe na wewe unaangaliaga shirika la wambea?Hatari. Ana sound kama teja la unga.
Hiyo Signature kiboko.. [emoji23] [emoji23] [emoji115]Kweli maisha safari, ukikata tamaa na hakuna wa kukushika mkono mwisho wake ni kuangamia. Pole Hawa
iPhone S7
Maneno ya busara sana Haya kaka, in sha Allah,Umsumbue Mama kulea mimba yako,umsumbue kwa kukulea hadi ukue,na umekua bado unamsumbua wewe na mwanao (mjukuu wake)Vijana wenzangu tuwe na huruma na wazaz wetu wasijute kutuzaa
May Allah bless Me and You
Asante ndugu,wazaz hatupasw kuwakwaza,Mungu amekemea sana kuwakwaza wazaz,hakuna mzaz anayezaa mwanae aje kuwa na mambo ya kipuuzi,mema tukiyafanya nao wanapata thawabu,maovu tukiyafanya kama hawaridhii hawapat dhambi.Dada amekua kero kwa mama kwa sasa,inaumiza na hapo anayeumia ni mama anasononeka sasa hiyo inaleta picha mbaya sanaManeno ya busara sana Haya kaka, in sha Allah,
Allah atufanyie wepesi
spend less, save more
Kuwakwaza wazazi inatokea, ila kuna umri wa kuwakwaza ( kile kipindi cha balehe nk) lakini 27yrs bado inakuwa kero kwa mzazi? Dah mungu aninusuru kwakweliAsante ndugu,wazaz hatupasw kuwakwaza,Mungu amekemea aana kuwakwaza wazaz,hakuna mzaz anayezaa mwanae aje kuwa na mambo ya kipuuzi,mema tukiyafanya nao wanapata thawabj,maovu tukiyafanya kama hawaridhii hawapat dhambi.Dada amekua kero kwa mama kwa sasa,inaumiza na hapo anayeumia ni mama anasononeka sasa hiyo inaleta picha mbaya sana
May Allah bless Me and You
Na hapo ndo tunapokosea,umri huo ni wa mzaz kufurahia kuwa amezaa sio kukereka.Kuwakwaza wazazi inatokea, ila kuna umri wa kuwakwaza ( kile kipindi cha balehe nk) lakini 27yrs bado inakuwa kero kwa mzazi? Dah mungu aninusuru kwakweli
spend less, save more
Kabla hajasaidiwa inahitajika utayar wake wakusaidiwaNa hapo ndo tunapokosea,umri huo ni wa mzaz kufurahia kuwa amezaa sio kukereka.
Dada anahitaj kusaidiwa je nani wa kumsaidia?
May Allah bless Me and You