mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂🤣🤣🤣 kweli aisee! Wanaume wa humu ambao hamjaoa mnakula bata sana, hakuna mateso, wote mna mandinga mkali, mnaishi kwenye apartment masaki, dada wa kazi anakuja mara moja kwa wiki kufanya kazi, mambo ni supa.
Ila waliooa wana stress, wanateseka, kutwa kulia lia 😂
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kampani yetu yote makachaaaaaa